IKULU: Rais Magufuli amteua Dkt. Bashiru Ally Kakurwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi

IKULU: Rais Magufuli amteua Dkt. Bashiru Ally Kakurwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi

Yes, civil is government na moja ya majukumu ya civil servants ni kudhibiti public servant kuhakikisha wanafanya kazi kwa kuzingatia kanuni na sheria. Wakati public servant wana wajibu wa kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia taaluma zao.
Acha urongo...Pata elimu hapa...

Get things right...Avoid guess work...

Now days we have open encyclopedia atleast through Google....though it also have junks
Yes nadhani definition hiyo iko sahihi kwamba civil servant anafanya kazi za serikali au kwa niaba ya serikali na public servant anafanya kazi za umma kwa mujibu wa taaluma zao.
 
Zingatia kuwa, anakuwa mkuu wa mabalozi wote wa Tanzania.

..mbona watangulizi kama Dunstan Omari, Joseph Namata, Dickson Nkembo, na Timothy Apiyo, hawakuwa mabalozi?

..lakini hata makatibu wakuu kama Paul Rupia, Martens Lumbanga, Ombeni Sefue, John Kijazi,walikuwa ni mabalozi ambao wametuwakilisha nje ya nje. hawakuteuliwa mabalozi kwasababu wamekuwa Chief Secretaries.
 
Ubalozi ni hadhi ya kidiplomasia .Siyo kwamba anaenda kuwa baloz nchi fulani.Hapana.

..lakini wanaokuwa mabalozi bila kuwakilisha nje ya nchi ni career foreign service officers na mara nyingi huwa ni wakuu wa idara za wizara ya mambo ya nje.

..sasa Dr.Bashiru kuwa balozi inachanganya kwasababu siyo foreign service office, hafanyi kazi wizara ya mambo ya nje, na hatuwakilishi nje ya nchi.
 
Kwa hiyo anakuwa Katibu Mkuu wa Chama na Katibu Mkuu Kiongozi kwa wakati mmoja au anaacha kuwa katibu mkuu wa CCM?

Vipi kuhusu muongozo wa utumishi serikalini unaotenganisha mambo ya chama na utumishi wa umma serikalini?

Hata kama atajiuzulu Ukatibu Mkuu CCM, huu uteuzi unaonesha kwamba utumishi serikalini unaenda kupelekwa kichama chama zaidi.
Hii nchi ishapoteza dira ,utajiumiza kichwa na mswali
 
Sasa urongo upi hapo wakati imeandikwa public and civil servants, kwa maana viko vitu viwili tofauti?
Nisome tena hapo chini...sheria yao ni moja lakini organized differently...wote wana jina la watumishi wa umma kiswahili kinaweka vizuri...wameajiriwa na umma katika madaraja yao including the president kwakua kwa katiba yetu Mh. Rais pia ni mtendaji na mwanasiasa so anachaguliwa na anaajiriwa na umma
 
Ile mambo ya kutenganisha chama na utumishi ni story tu...maana watumisho wote wa serikali wa kuteulia huwa ni wanachama wa chama.

Alafu ni muhimu sana kwa mtumishi kuwa ccm ili aweze itekeleza ilani ya chama vizuri bila mgongano wa kimaslahi.
Wekeni tangazo wazi kabisa kwamba wafanyakazi wote wa serikali ni lazima wawe wanachama wa CCM basi.
 
Nimejiuliza sababu ya ubalozi mpaka sasa sijaelewa, au labda wanataka akienda nje kufanya deals awe na "Diplomatic immunity".
Kwema Mkuu?

Kwa mujibu wa Kanuni za Utumishi wa Umma, Rais ni mamlaka ya nidhamu ya Katibu Mkuu Kiongozi.

Kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma, Katibu Mkuu Kiongozi ndiye Mkuu wa Utumishi wa Umma.

Kwa mujibu wa sheria hiyo pamoja na Kanuni za Utumishi wa Umma, Katibu Mkuu Kiongozi ni mamlaka ya nidhamu kwa makatibu wakuu wa wizara, manaibu katibu wakuu, wakuu wa idara zinazojitegemea, katibu wa bunge, makatibu tawala wa mikoa, mkurugenzi wa uhamiaji, mabalozi, n.k.

Kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma, Katibu Mkuu Kiongozi anaweza kumchukulia hatua za kinidhamu mtumishi yeyote niliyemtaja hapo juu kwa kadri atakavyoona inafaa. Mtumishi au mamlaka yoyote isiyoridhika na uamumzi wa Katibu Mkuu Kiongozi inaweza kukata rufaa kwa Rais.

Naona kama Rais kamteua Dkt Bashiru kuwa Balozi ili kuepusha insubordination. Labda bila kuwa balozi, Bashiru asingeweza kumchukulia hatua balozi yoyote kwa kadri anavyoona inafaa. Other than this sioni sababu nyingine ya msingi. Historia inaonyesha kuwa waliowahi kushikilia nafasi hiyo walikuwa mabalozi pia possibly for the very same reason.

Swali linakuja: kati ya Katibu Mkuu Kiongozi (ambaye pia ni Cabinet Secretary) na Balozi who is the most powerful? Mie nilidhani Katibu Mkuu Kiongozi ndiye kinara wao lakini kwa appointment ya leo inaonyesha wazi kuwa hana lolote kwa balozi unless nae awe balozi. Hii inachanganya ukiangalia jinsi appointments za mabalozi zinavyofanyika siku hizi.
 
EMT,

..kuna mabalozi ambao huteuliwa toka nje ya serikali, kama Balozi Masilingi, Balozi Paul Bomani, Balozi Omar Mapuri, ... je hao nao mamlaka yao ya nidhamu ni Chief Secretary, au wanaweza kuchukuliwa hatua za kinidhamu na Chief Secretary?
 
Yes nadhani definition hiyo iko sahihi kwamba civil servant anafanya kazi za serikali au kwa niaba ya serikali na public servant anafanya kazi za umma kwa mujibu wa taaluma zao.
Elewa mantiki hapo wote ni civil servants...Watumishi wa umma...Lakini ndani ya hao wapo ambao wanaunda serikali au kufanya utendaji wa serikali na wale ambao wanafanya kazi kwa niaba ya serikali katika sehemu zao lakini kwa niaba ya umma wa Tanzania; and kwa sheria ya sasa unaweza kupelekwa kokote ukafanye kazi bila kujali ulikuwa wapi kabla...Kuna amendments zimefanyika...sina reference ningekuwekea hapa
 
Dr Bashiru is not qualified for that post, at least on how succession planning goes in unitary government system na uwezi kupewa hiyo nafasi if you are not a qualified top spy nor having held other senior civil services post.

At the same time naona logic ya Magufuli kumteua Dr Bashiru, civil services ya Tanzania ni ovyo sana in administering party manifesto. Kwa fikra za raisi kwa kumteua Dr Bashiru he will push more other senior civil servant.

But then that role is bigger than that maana kuna aspects za international relations and national security issues.

The bottom line TISS inapwaya kwenye kuandaa viongozi, safu ya juu nchi kama UK tulipo-copy mfumo wa serikali yetu makatibu wakuu wote + senior civil servant ni watu ambao wanaelewa strategic operation zao kuanzia juu mpaka chini na control measures.

Na kwenye kupanda kwao ukifikia level za kuitwa senior civil servant unakuwa afisa usalama maana unajukumu la kutunza siri za nchi.

Sisi tunaokoteza tu watu at senior post, most lack the skills to implement a strategy fit for the party manifesto, can’t execute a mission efficiently nor pay attention to the manifesto. Nadhani Magufuli kaona mapungufu hayo and he thinks Bashiru might get things moving fast.
 
Dr Bashiru is not qualified for that post, at least on how succession planning goes in unitary government system na uwezi kupewa hiyo nafasi if you are not a qualified top spy nor having held other senior servant position.

At the same time naona logic ya Magufuli kumteua Dr Bashiru, civil services ya Tanzania ni ovyo sana in administering party manifesto. Kwa fikra za raisi kwa kumteua Dr Bashiru he will push more other senior civil servant.

But then that role is bigger than that maana kuna aspects za international relations and national security issues.

The bottom line TISS inapwaya kwenye kuandaa viongozi, safu ya juu nchi kama UK tulipo-copy mfumo wa serikali yetu makatibu wakuu wote + senior civil servant ni watu ambao wanaelewa strategic operation zao kuanzia juu mpaka chini na control measures.

Na kwenye kupanda kwao ukifikia level za kuitwa senior civil servant unakuwa afisa usalama maana unajukumu la kutunza siri za nchi.

Sisi tunaokoteza tu watu at senior post, most lack the skills to implement a strategy fit for the party manifesto, can’t execute a mission efficiently nor pay attention to the manifesto. Nadhani Magufuli kaona mapungufu hayo and he thinks Bashiru might get things moving fast.
Unaelewa ulichoandika?
 
Back
Top Bottom