IKULU: Rais Magufuli amteua Dkt. Bashiru Ally Kakurwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi


Mkuu mbona chama kimeshajikita muda ndani ya civil service. Kwani hujawahi kusikia swali civil servants wanaloulizwa kila mara na politicians la “Nani anakulipa mshahara?”
 
Kushinda uwezo wako unavyofahamu how unitary government system works.
Dogo bhana. Umeingia chuo kikuu umeanza kusikia hayo majina ya unitary government basi unajiona umejua sana mambo ya utawala na sheria
 
Naunga mkono hoja kwa 100%

Watumishi round hii kazi wanayo! Itakua CCM kila mahali hata ambapo kwenye masuala yasiyopaswa kuingia siasa
 
Tofautisha umma (public) na serikali (civil)
 
Kwa sasa Dr Bashiru siyo wanasiasa. Ni mtumishi wa umma. Amepewa ajira kwanza ya umma kuanzia tarehe 26/02/2021 kuw balozi. Then akateuliwa kuwa katibu mkuu kiongozi. Maana hiyo nafasi ni post ya watumishi wa umma.
 
Nafikiri Dr Laurean Ndumbaro alikuwa anafaa kumrithi Dr. Kijazi
 
Rudi shule ukasome tena
Tatizo unatafsiri kiingereza kwenda kiswahili

Unafahamu maana ya neno Interchangable au similarities
Anayepaswa kwenda shule ni wewe unayekariri! Similarity haina maana kuwa vitu hivyo ni sawa bali vinafanana.
 
Katibu mkuu wa CCM ndo katibu mkuu Kiongozi.

Mwenyekiti wa CCM ndo amiri jeshi mkuu wa nchi.

Amini nakwambia, nchi hii ni ya vyama vingi
Kweli Nchi ni ya vyama vingi,lakini Chama kinachoshinda Uchaguzi Mkuu ndiyo kinashika Dola! Katiba inasema hivyo!!
 
Kanda ya ziwa tunateseka na digits tunazisoma kama walivo watanzania wengine. Jamaa anakula na masela zake
Hata wwe tukikuweka pale white house lazima utakula na Masela wako pia,tuwe wa kweli,Nani anapenda kula na maadui zake!?
 
Reactions: Ame
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…