black short
JF-Expert Member
- Nov 16, 2019
- 519
- 974
TrueHata wwe tukikuweka pale white house lazima utakula na Masela wako pia,tuwe wa kweli,Nani anapenda kula na maadui zake!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TrueHata wwe tukikuweka pale white house lazima utakula na Masela wako pia,tuwe wa kweli,Nani anapenda kula na maadui zake!?
..what is the point ya kumteua Dr.Bashiru kuwa balozi?
..mbona watangulizi kama Dunstan Omari, Joseph Namata, Dickson Nkembo, Timothy Apiyo, hawakuwa mabalozi?
Thanks I can now see the logic as he meets with diversity community both local and international level. Well notedUbalozi ni hadhi ya kidiplomasia .Siyo kwamba anaenda kuwa baloz nchi fulani.Hapana.
Duuh haya we!Tofautisha umma (public) na serikali (civil)
This one I agree, maana Civil servants inawaondoa hao (Judiciary), military na elected politicians...Ahsante kuniongezea ujuzi...Majaji na Mahakimu siyo Civil Servants
For sure I was ignorant of this; japo najua kuwa kuna mihimili, ila inapokuja kwenye institutions i.e governance being part it wasnt clear how it goes ...Na kweli sheria siyo cup of my tea.....asante.
..mimi nilikuwa naujua ukweli huo.
..lakini mchangiaji niliyekuwa namjibu nadhani alijua kuwa amekosea lakini akaendelea kung'ang'ania msimamo wake.
Bashiru alikosea kukubali kuwa KM. Njiwa kuruka na kunguru! Haijatokea. Alisemwa kuwa mwanaCUF. Hilo badala ya kumnyima ukatibu mkuu ndilo likampatia.Most probably Bashiru ataishia kwenye ubalozi, hii ya katibu kiongozi ni zuga tu!
Maana hakukuwa na sababu zozote za kumteua kuwa balozi bila kuwa na nia ya kupangia kituo cha kazi cha ubalozi
Bashiru anapinga Jiwe kuendelea na uraisi baada ya muda wake kwa hiyo it seems jiwe alitaka amtoe kwenye chama aweke watakaokubali agenda yake ya kuongeza mihula
Basi Kama wwe unaona Raisi kavunja Katiba,kwa Nini usimshitaki Mahakamani!?Acha upumbavu soma katiba.
View attachment 1713028
Tunaelekezwa kwenye katiba (soma kiambata) kua katibu mkuu kiongozi anatakiwa ateuliwe kutoka kwa maafisa waandamizi.
Chukua kamusi, soma tafsiri ya afisa mwandamizi, halafu jiulize, katibu mkuu CCM ni afisa mwandamizi?
Katiba ya JMT ilishakanyagwa kitambo, its useless!Acha upumbavu soma katiba.
View attachment 1713028
Tunaelekezwa kwenye katiba (soma kiambata) kua katibu mkuu kiongozi anatakiwa ateuliwe kutoka kwa maafisa waandamizi.
Chukua kamusi, soma tafsiri ya afisa mwandamizi, halafu jiulize, katibu mkuu CCM ni afisa mwandamizi?