Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

Ukienda bongo unatosha kabisa kumrithi mzee Yusuph.
 

Una uhakika wa hayo uloandika? Really?
 
 
Ila Sometime uwa nasema wacha Magufuli awashugulikie Watanzania ukiwachekea sana unavuna mabua unafiki ndio jadi kuu.

Hatuwezi kuruhusu tena lile genge hatari(mtandao) kwenda Ikulu Never.
Jiulize kwanini hata CAG awamu hii anaandamwa!!!!

Watanzania hamjielewi kabisa!!
 
Ona naye huyu....

Utakuwa mmoja wa hao wafamaji wewe.

Pole kwa maumivu. Yakizidi kamwone daktari.

Post yako namba moja ni kama ile mipasho ya yale mashangingi mazee ya Mwananyamala yakisutana. Sio post yenye hoja za kiume bali hoja za kimbea, kusutana na kuzodoana. Kuwa na hoja za kiume boss.
 
Mkuu siku hizi hauko objective,mipasho tuuu...
Anawezaje kuwa objective mtu akitoka US anaenda kulala kwa mama. Eti wakipika dagaa anasusa anaenda kula vibandani..

Alafu alikuwa anadanganya watu humu eti ana apartments Msasani na Masaki. Wakati anangojea maza afe arithi kijumba kikuu kuu cha babake..
 

Mkuu this is harsh ... 😢 😢
 
Mm siamini mpaka nimuone ktk TV ili nifurahi roho yangu Leo ya 4 hajaonyeshwa ktk TV wala siyo kawaida yake
 
Last kicks of the dying horse,waache watapetape
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…