Ikulu sio wodi ya wagonjwa, Lusinde amnanga Dk. Slaa


Big up!!!
 
Mbona mwenyekiti wa bendera ya kijani anadondoka kila siku, fisadi papa sura imempinda kila siku ujerumi, Babu kamanda hajawahi dondoka bana hamna jipya wezi na wagongwa na wazinzi wote wanatoka ccm
 

Mh. Lusinde amesema Ikulu sio wodi ya wagonjwa na kumnanga dk Slaa.
Chanzo: RFA magazeti

Kama kuna wabunge ambao huwa wananishangaza kuwepo bungeni ni huyu jamaa. Mnakumbuka alivyotoka mapovu kutetea Escrow wakati hata haelewi logic behind the scandal? Yaani huwa hajibu hoja kwa hoja bali kwa mipasho tu..
 
Mataifa yote yanayofanikiwa ni yale ambayo watia nia wanakuwa na andiko la nini wanakwenda kufanya. Unaposema wakifika... unamanisha wanakwenda kujaribu. Kitu ambacho ni sumu. Ila kwa vile sijahusika na siasa kihivyo, ila mabadiriko yanayosemwa yatakuwa ni ya maneno na si vitendo.

Angalia kama kule Ugiriki, jamaa alikuwa anaeleza sera zake na ameanza kuzifanyia kazi.

Angalia Marekani, H. Clinton hatangazi mabaya yaliyoyopo ila nini anataka afanye akiwa rais.

Sisi atujui baado kwa nini tumeungana na sera yetu ni ipi katika kuongoza taifa lenye matatizo makubwa kama hili. Tunataka tupange wakati tumshika nchi.

Unatakauowe ndo upange chumba cha kulala!!!!

Hili ni kosa.
 
Huyu lusinde wananch wa mtera mlikosa wa kumchagua mkamchagua Huyu muimba taarabu?
 
Kuna laana isiyopingika nayo ni mwenye afya anapomnanga mgonjwa. Hata ingekuwa ni ugonjwa wa kujitakia. Kumnanga mgonjwa kwa njia yeyote ile ni laana kamili.
Lusinde hana shida kwani tayari kishalaaniwa yule. Anatafuta kampany ya kumsindikiza. Asilan hawezi pata mjinga mwenzake. Kweli Mtera mmepata hasara na ukilinganisha tena ml 300 atakazolamba aweza kurudi tena mjengoni hivyo muandike tena miaka 5 ya hasara.
 

Ndugu yangu kulinganisha wenzetu na sisi ni sawa na kulinganisha usiku na mchana ni vitu tofauti, wewe ulisikia wapi Republican anapigwa na polisi kwa kunadi sera zake, vyombo vya usalama bado vinaelea kwenye mfumo wa chama kimoja, laity kama wangeelewa wao watabaki kuwa vyombo vya usalama hata kama ni ukawa wa tatawala ndipo tungeweza kuwa tunaongea lugha moja, ndio maana nasema kwa sasa lengo ni kuondoa mfumo wa utawala wa chama kimoja na kubadili mtizamo wa fikra wa watanzania hasa vyombo vya usalama, na nikwambie tu sio kwamba ukawa hawana sera wanazo ila wakati wa kuzinadi si utafika, tutawasikiliza na pia kumbuka kila chama mwaka jana kilinadi sera zake, sasa kama wameanza kushirikiana huoni watengeneza sera bora Zaidi toka kwa vyama vyote, kuna sera nzuri kabisa kwenye kila chama na kwa muda huu kama kweli wameamua kushirikiana watakuwa wanatume yao ya wataalam wanaofanyia kazi jambo hili, mimi kwa sasa ni mageuzi kwanza acha kulinganisha Tanzania na USA ni tofauti kabisa.
 

kwanini asimnange LOWASA.maana lowasa na dokta slaa lowasa ndo mgonjwa mauti maut. Upo we mleta mada. Au tukufumue marinda?
 
Mbona Rais JK anaumwa TEZI DUME na bado yupo Ikulu?

Maneno mengine akina Lusinde wanamtukana Mwenyekiti wao wa chama
 
mbona jamaa yangu amelea tezi dume mpaka miezi michache iliyopita ndo kaling'oa.Au wodi yake yeye ilikuwa ughaibuni?
 
Mbona Rais JK anaumwa TEZI DUME na bado yupo Ikulu?

Maneno mengine akina Lusinde wanamtukana Mwenyekiti wao wa chama

Kama we ni mwanaume kuugua tezi dume sio ajabu. Usishangae nawe ukawa nalo sasa lkn hujapima tu!
 
Machizi wako bungen.kwa mtu msomi mwenye akili timamu hawez fuatilia kauli ya kijinga kama ya huyo mbunge Wa ccm.taahira siku zote anstamk
 
Kama we ni mwanaume kuugua tezi dume sio ajabu. Usishangae nawe ukawa nalo sasa lkn hujapima tu!

Lusinde kasema mgonjwa hatakiwi Ikulu,hajasema lkn ukiwa na tezi dume inaruhusiwa
 
Tazameni siasa zilivyo na vigeugeu

Ukistajaabu ya Nabii Tito utayaona ya Alhad Mussa,wakati mwingine ni kuangalia tu tunayoongea tusivuke mipaka.Hata kesho Lissu akihamia CCM atapewa sifa zote za duniani na Mbinguni.

Ataitwa Shujaa aliyetumwa na Muumba,siku hiyo itakuwa furaha na vifijo.Ukitaka kushangaa ya bongo utaumiza akili amini unacokiamini.
 
Dr Wilbroad Alaa msema Kweli mwenye maono Unaweza kuwa Makamu wa rais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…