Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Aliswali bila kutawadhaMufti Abubakar alikuwepo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliswali bila kutawadhaMufti Abubakar alikuwepo?
Alikuwepo ndio, ila naona viongozi wa kiislam wako wache ila hao wengine ni wengi zaidi kuna siri gani hapo?Mufti Abubakar alikuwepo?
Unaumwa ndezi wewe. Kwani huyo Yesu ni MWAFRIKA WA CHATTLE?Maombi ya Gwajima pekee ndio yamefika.
Kwanza amesali kwa jina la Yesu wakati wengine wamepitia wazazi wa Yesu na wengine sujui waarabu gani huko
Du, adui wa kwanza kwa sasa ni chuki.Aliswali bila kutawadha
Yaani ukitaka kujiona maombi yako hayakubaliwi iombee Tanzania usishangae mradi huo ukwa janga LA Taifa kama WA Gesi na madini baadaeDar es salaam: Viongozi 13 wa dini jana walisimama na kuuombea mradi wa umeme utakaozalishwa Mto Rufiji katika bonde la Stiegler ili upate mafanikio.Maombi hayo ya viongozi wa dini na madhehebu tofauti yalifanyika jana Ikulu jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya kutia saini wa mkataba wa ujenzi wa mradi huo utakaokuwa ukizalisha megawati 2,115 za umeme utakapokamilikaView attachment 967459
Humuoni hpo mzee mufti toka mtaa ufipa ypo kwenye picha.....hpoMufti Abubakar alikuwepo?
Environmental Impact Assessment Report (EIAR) inasemaje hapo kuhusu hiyo project? Tuanzie hapo kwanza tuache ushabikiKWAKO RAIS DR.JOHN POMBE MAGUFULI,
POLE NA MAJUKUMU,Komaa kwa hali yoyote ile,huu mradi mkombozi wetu ukamilike,utakutana na changamoto za kufa mtu,komaa tuu,natamani kila siku niwe nakukumbusha ili uwapange vema Timu yako,bu hooks and kooks kwenye huu mradi watu ambao wanataka ushindwe wanatamani mradi ukwame kwa namna yeyote ile,kitu kikionekana "live" utakuwa umeweka alama kubwa Tanzania na vizazi vijavyo.Umeshauanza usiishie njiani kwa vyovyote vile,wewe umekuwa mwana UJENZI Mzuri sana wa MIUNDOMBINU BARABARA,SASA NI ZAMU YA STIEGLIERS KUFUFUA UMEME,NGUVU ZOTE ZIPELEKE HUKO MKUU.
Hebu nisaidie ule mradi maarufu wa umeme wa gesi uliishia wapi ?!. Na nani kauua ?!. Ukishajibu hilo ndiyo ndiyo tamaa yako ufanyie kazi.KWAKO RAIS DR.JOHN POMBE MAGUFULI,
POLE NA MAJUKUMU,Komaa kwa hali yoyote ile,huu mradi mkombozi wetu ukamilike,utakutana na changamoto za kufa mtu,komaa tuu,natamani kila siku niwe nakukumbusha ili uwapange vema Timu yako,bu hooks and kooks kwenye huu mradi watu ambao wanataka ushindwe wanatamani mradi ukwame kwa namna yeyote ile,kitu kikionekana "live" utakuwa umeweka alama kubwa Tanzania na vizazi vijavyo.Umeshauanza usiishie njiani kwa vyovyote vile,wewe umekuwa mwana UJENZI Mzuri sana wa MIUNDOMBINU BARABARA,SASA NI ZAMU YA STIEGLIERS KUFUFUA UMEME,NGUVU ZOTE ZIPELEKE HUKO MKUU.
Achana na mambo ya Gesi Mkuu,kwanini uhangaike na vitu ambavyo ni bei ghali kwa wananchi? Hiyo Gesi itatumika Dangota na viwanda vidogo vigodo mkuranga ,lindi,Mtwara na itakuwa standby mitambo ya gesi pale kinyerezi.Hebu nisaidie ule mradi maarufu wa umeme wa gesi uliishia wapi ?!. Na nani kauua ?!. Ukishajibu hilo ndiyo ndiyo tamaa yako ufanyie kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na mambo ya Gesi Mkuu,kwanini uhangaike na vitu ambavyo ni bei ghali kwa wananchi? I
utakwama tu kwani ccm hawa kushindwa hawajaanza leo.KWAKO RAIS DR.JOHN POMBE MAGUFULI,
POLE NA MAJUKUMU,Komaa kwa hali yoyote ile,huu mradi mkombozi wetu ukamilike,utakutana na changamoto za kufa mtu,komaa tuu,natamani kila siku niwe nakukumbusha ili uwapange vema Timu yako,bu hooks and kooks kwenye huu mradi watu ambao wanataka ushindwe wanatamani mradi ukwame kwa namna yeyote ile,kitu kikionekana "live" utakuwa umeweka alama kubwa Tanzania na vizazi vijavyo.Umeshauanza usiishie njiani kwa vyovyote vile,wewe umekuwa mwana UJENZI Mzuri sana wa MIUNDOMBINU BARABARA,SASA NI ZAMU YA STIEGLIERS KUFUFUA UMEME,NGUVU ZOTE ZIPELEKE HUKO MKUU.
jamaaa ana mikosi ya kifanikiwa hakuna.linaloenda mbele.Kakomaa na Korosho Sasa baada ya kuchina store kaamua kuzirudisha. Sasa amemtafuta kangomba wa Kenya Sasa kwa vile hawajui wakenya wacha wamwonyeshe action maana hata amini macho yake. Hakuna mfanya biashara anayetoa hela yake ki ndezi ndezi akiitoa inakuwa Kama chambo maana unaweka ndoano kwenye maji ili uvue Papa wakati ndoano ni ndogo Kama mwiba lakini inanasa papa. Kama hajawahi kuuza pipi hawezi nielewa
Kakomaa na standard geji Mara tutajenga kwa hela za ndani huku Beno Ndullu akimuambia huwezi Jenga reli kwa hell za ndani na kwa kuwa yeye ni Jiwe Basi Tena reli imemchachia.
Kakomaa na uchumi unaokua kwa 6.1% wakati kwa ukweli uchumi unakua kwa asilimia 1. Sasa sijui atafanyaje alidhani akiwa Hitler Mambo yataenda mwisho yanamgeukia Mambo ndo Yana mu-Adolf Hitler
Kakomaa na ndege ndege Airbus Sasa imekuwa ni meat van Airbus
Kakomalia Viwanda viwanda Sasa hivi ukiongelea viwanda unaonekana no mhaini.
Kipindi Cha kampeni aliongelea swala la umeme kukatika katika ila Sasa mgao umerudi hapa nilipo umeme hakuna alafu twaambiwa ni Tanzania ya viwanda.
Amekomalia watumishi feki na vyeti hewa kamshindwa bashite kumtumbua
Kakomalia Makinikia akawaita na wale ma professorial rubish nashangaa baada ya kushindwa ikabidi awaite ata wale darasa la tatu wampe somo la madini baada ya kuharibu Mambo. Nilimshangaa alipokuwa anasema benki inunua madini wakati benki kazi yake ni kukopesha nikajua hapa hamna kitu alafu anajifanya mjanja kumbe ....
Amekomalia LGBT mwisho Waziri wake akamruka wazi wazi wakati yeye ni akili ndogo yaani unakunya chumba unacholala na hapo hapo bado Tena unataka upafanye sebule
Yaani Bora asiguse chochote maana kila anachogusa ndo jinsi anavyojivua nguo
Sent using Jamii Forums mobile app
KWAKO RAIS DR.JOHN POMBE MAGUFULI,
POLE NA MAJUKUMU,Komaa kwa hali yoyote ile,huu mradi mkombozi wetu ukamilike,utakutana na changamoto za kufa mtu,komaa tuu,natamani kila siku niwe nakukumbusha ili uwapange vema Timu yako,bu hooks and kooks kwenye huu mradi watu ambao wanataka ushindwe wanatamani mradi ukwame kwa namna yeyote ile,kitu kikionekana "live" utakuwa umeweka alama kubwa Tanzania na vizazi vijavyo.Umeshauanza usiishie njiani kwa vyovyote vile,wewe umekuwa mwana UJENZI Mzuri sana wa MIUNDOMBINU BARABARA,SASA NI ZAMU YA STIEGLIERS KUFUFUA UMEME,NGUVU ZOTE ZIPELEKE HUKO MKUU.
jamaaa ana mikosi ya kifanikiwa hakuna.linaloenda mbele.
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !tuna imaaaaaaaaaaaaaaniiii na Magufuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuliiiiiiiii