IKULU: Utiaji saini mkataba wa ujenzi wa Stiegler's Gorge


Mkuu mimi nakuheshimu sana. Lakini naomba at times uwe objective.

Kuna sehemu serikali inafanya madudu na ni haki yetu kuikosoa kama tunavyofanya humu kila siku. Lakini hebu tuwe wakweli kidogo, tunaweza kupinga juhudi za kuwa na umeme wa uhakika kusukuma gurudumu la maendeleo yetu mbele?

Yes, najua kuna nadharia nyingi hapa (mradi huu ni mkubwa, pesa hatuna, tungewekeza kwenye umeme wa maji, umeme wa gesi, upepo na mengine mengi!). Lakini Ukweli ni kwamba tunahitaji umeme. Sijaona juhudi za watangulizi wa jiwe kutupa umeme wa uhakika kwa zaidi ya miaka 50 ya uhuru. Kila kitu ni ujanja ujanja tuu....(refer akina net group, akina Rugemarila nk). Kama huu ndo mradi utatupa umeme, tumsupport JPM!

Tusiwe watu wa kupinga kila kitu..Tunapoteza maana ya neno lenyewe na mwisho wa siku..hata mtu ukipinga kitu cha maana unaonekana ni yule yule.

Umeme ni muhimu kwa maendeleo ya taifa!
 
Ili tupae kiuchumi Anahitaji Aongoze Miaka 20 ili amalizie miradi yake yote, kama ninavompinga jpm na ninapompongeza tuungane mkono makamanda.
ndugu yangu, umeme ndio nchi ipae
 
Gas sio yetu ni ya wenyewe wenye mitambo yao wacha wabunye mbaka mkataba uishe sisi sote tumeshakuwa wazee
Mwenye maswali kuhusu gas njia nyeupe akwende Msoga kule kuna majibu mubashara
Sisi tunakwenda na bwawa letu ,maji yetu na fedha zetu
Megawati 2000 za kwetu..
 
Wangechagua miradi michacha na sio kwa style hii ya kuwa na mamiradi ya matrilioni ndani ya muda mfupi.
 
Kiki za kijinga na madiri ya wakubwa. Mradi wa umeme wa gas ambao iliamuliwa hata rais wauawe umefikia wapi mbona watz hawaambiwi hayo ila ccm na serikali yake wanaendelea kutengeneza madiri ya ulaji na kuifilisi nchi?
Huambiwi ama wewe ndiye haufuatilii? Kila siku Serikali inatangaza kuwa iko kwenye mazungumzo na makampuni hayo na kwamba bado hawajakubaliana katika ku-share gharama na faida.
Na juzi tu Norway kupitia Balozi wake wameeleza kuunga mkono mazungumzo ya kibiashara na Tanzania as far as Equinor is concerned.

Pia, Shell wameshatangaza kuwa wako kwenye mazungumzo nao ikiwezekana waanzishe LNG yao peke yao bila kuhusisha Equinor.

Kampuni ya Gesi ya Shell: Makubaliano ya Mgawanyo wa Uzalishaji (PSA) wa Gesi kati ya Tanzania na Makampuni ya Gesi ni bora kabisa duniani - JamiiForums
 
Wewe nae mwishowe utachanganyikiwa kwa kupingapinga.
 
Mkuu pole sana. Maana unavyohangaika namna hii unatia huruma. Kasi ya Rais Magufuli inawachanganya sana ila ndo hivyo utafanyaje sasa subiri 2025 akiondoka ndio mlete vibaraka wenu.
 
Mkuu pole sana. Maana unavyohangaika namna hii unatia huruma. Kasi ya Rais Magufuli inawachanganya sana ila ndo hivyo utafanyaje sasa subiri 2025 akiondoka ndio mlete vibaraka wenu.
Kasi gani wakatu uchumi unavurugika?

Kasi tungeiona kwenye kuongeza mapato ya nchi na sio kwenye kukopa na kufanya mambo mradi tu uonekane umefanya.
 
Unataka miradi muhimu ya nchi itekelezwe bila wananchi kulipa kodi!? Eti kujipanga!! Kujipanga si ndo kulipa kodi ili ifanyike!!!
 
Hakuna kitu chochote kinacho mshinda binadamu anaye ongozwa na Mwenye Enzi Mungu walahi
Chapa kazi JPM
Maadui zako wote wafe wao na vizazi vyao milele yote walahi
 
Hakuna kitu chochote kinacho mshinda binadamu anaye ongozwa na Mwenye Enzi Mungu walahi
Chapa kazi JPM
Maadui zako wote wafe wao na vizazi vyao milele yote walahi
 
hovyo sana wewe,hamia marekani basi
 
Ila wewe jamaa inaonekana umesharukwa na akili!! Unataka miradi muhimu ya nchi itekelezwe bila wananchi kulipa kodi!? Eti kujipanga!! Kujipanga si ndo kulipa kodi ili ifanyike!!! Chuki zake kajengee makao makuu ya Ufipa yaliyopo kwenye pagale.
Nyie huwa mnaelewa kwa kuona athari.
 
Need I say more?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…