Na Bado sukuma.gang mtalia sana wakati wa uzinduzi wa bwawa mwakani..
Kuanzisha sio kujenga na Wala sio kufanikisha

Hakuna binadamu mwenye uwezo wa kuupindisha ukweli.
Technology na maandishi hayadanganyi. Si vema kumnyima mtu haki yake kwa hila. Si vema kumnyima mtu sifa yake kwa hila.
muda utatuumbua. Haina maana JPM aliibuni hii miradi. Ila alikuwa na uthubutu wa kuifanya. Wengine tunaendelea kulamba asali. Maendeleo yetu ni kutunga maneno mapya ya kuchekeshana
 
Safi kabisa, mtenda hutendwa. Magufuli akiwa hai alikuwa anawaponda watangulizi wake wote kuwa hawakufanya lolote. Sasa ngoja na yeye afunikwe tu hata huko kuzimu aliko
 
No wonder una division foo
CHEKIBOBU KIKWETE ni tapeli yule, anakenua tu mijino nje na KUDOEA maendeleo ya nchi bila kuchangia lolote.

Alitumia miaka kumi ya Urais wake kupiga mbizi angani kama Tiara.

Baadaye akawa anabembea ulaya, kisha akastaafu na kurudi msoga kuendeleza umbea.
 
Wanasema: if it looks like a duck, walks like a duck and quacks like a duck then it certainly is a duck.

Hakuna haja ya maneno mengi. Kama msomi uliyebobea itakuwa vyema sana uwasaidie nduguzo wa Sukuma Gang kwa kuingiza objectivity kwenye hoja zao. Manake wengi wao kwa hasira badala ya kuainisha vyema masuala huishia kufokafoka tu na kukashifu.

Halafu unapoingiza CDM unnecessarily kwenye mada za Magufuli unaishia ku-dilute hoja na kuhamisha focus toka kwa maadui zake wa kweli. Hilo ni kosa la kufisha (fatal mistake) alilofanya Magufuli enzi za uhai wake. Alikuwa obsessed na washindani wake wa kawaida akidhani ndio maadui wenyewe na kuwakumbatia maadui waliodhamiria kumpotezea mbali. It’s becoming clearer now. Wanazidi kupata nguvu. Soon wakikaa sawa watafutilia mbali kumbukumbu yake.
 
Mimi ni anti Magufuli lakini kwa kweli kwenye tukio la leo hajatendewa haki. Eti ikulu imejengwa na Samia
Haki ipi?

Hivi akitajwa kitaongezeka nini kwa Magufuli?
Ambavyo hakutajwa kimepungua kitu gani?

Namkubali sana Magufuli lakini wakati mwingine tunatumia nguvu kubwa Kutaka atambulike kwenye kila kitu ilihali havimuongezei wala kumpunguzia chochote kwa sasa....

Katika kitu kigumu na kinachowaumiza Wafuasi wa JPM ni kukubali kwamba kwa sasa hayupo.....
Na waliokuwa wanamchukia JPM wameona hicho kidonda na kwenye kila tukio kubwa la kitaifa ambalo JPM alitakiwa Kukumbukwa wanampotezea kwa makusudi kabisa...yaani wanapiga kwenye kidonda....

Na wafuasi wa JPM bila kujua wanapiga kelele kwa maumivu bila kujua wanamfurahisha Adui....na yeye kila kukicha anaendelea kwa makusudi kupiga kwenye mshono.

Nililiona hili kitambo sana na kuamua kupotezea JPM akumbukwe asikumbukwe haina faida yoyote kwangu binafsi wala familia yangu....

Good reputation for the deceased is like the smell of good perfume that does not revive the dead.







RIP JPM

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Fala wewe, ulikuwa mhasibu au CAG ambaye anatakwimu za namna pesa zilikuwa zikiibwa?!

Ulikuwa wapi hata lile Jambazi Magufuli likafa , kumbe hufai kuwa askari wake. Ni afadhali unywe dawa ya panya ulifuate kuzimu ukalisifu

 
Kipindi dikteta Magufuli anazindua daraja la Kigamboni unakumbuka alimtaja JK hata kwa bahati mbaya?
 
MAUSHUNGI kajitutumua maana anaona aibu kuacha kutaja jina la mwamba wa chato.

Kazi imefanywa na imeonekana, mengine ni maigizo tu ya akina CHEKIBOBU KIKWETE.
Sio kujitutumua walikuwa nae,hakuna mwamba hapo.

Hivi Ikulu imegharimu kiasi gani maana Msingi walisema imekula nondo za Bilioni 1.
 
Siwezi kujiita msomi niliyobobea wakati ni average Joe tu ninayapenda kujifunza walau basics lines of reasoning.

Hayo mengine advice taken.
 
Sio kujitutumua walikuwa nae,hakuna mwamba hapo.

Hivi Ikulu imegharimu kiasi gani maana Msingi walisema imekula nondo za Bilioni 1.
MAUSHUNGI ni dhaifu, hawezi kazi ya kiume ile. Amedebweda ndio maana mafisadi yanamshika makalio kiulaini.

Akaamua ajitutumue kumtaja mwamba wa chato kinyonge kwa aibu.

Anadanganywa na akina CHEKIBOBU KIKWETE atapotea. Wale ni FAILURES, VASCO DAGAMAS hawawezi kumsaidia zaidi ya kumpigisha umbea.
 
Ndugu yangu .. ukikuwa utaacha.

Kila mtu apewe mauwa yake.
 
Ulishawahi kujiuliza ni kwanini huwa tunafundishwa somo la Historia??
 
What about the souvenir Mwl Nyerere?

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…