zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
No wonder una division fooVASCO DAGAMA a.k.a CHEKIBOBU KIKWETE hajafanya lolote lile nchi hii zaidi ya kubembea ulaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No wonder una division fooVASCO DAGAMA a.k.a CHEKIBOBU KIKWETE hajafanya lolote lile nchi hii zaidi ya kubembea ulaya.
Na Bado sukuma.gang mtalia sana wakati wa uzinduzi wa bwawa mwakani..
Kuanzisha sio kujenga na Wala sio kufanikisha
Safi kabisa, mtenda hutendwa. Magufuli akiwa hai alikuwa anawaponda watangulizi wake wote kuwa hawakufanya lolote. Sasa ngoja na yeye afunikwe tu hata huko kuzimu alikoZuhura yunisi ambaye ni mwandaaji wa simulizi ya ikulu naona anaowataja ni Nyerere, Mwinyi na Kikwete. hivi mnafikri watanzania bado wapo zama za giza Magufuli hata msipomtaja mawe yatamtaja, Kikwete sioni mchango wake hapo.
CHEKIBOBU KIKWETE ni tapeli yule, anakenua tu mijino nje na KUDOEA maendeleo ya nchi bila kuchangia lolote.No wonder una division foo
Wanasema: if it looks like a duck, walks like a duck and quacks like a duck then it certainly is a duck.Wewe mwenye akili unge quote hiyo post niliyoongelea CDM kuliko kuweka post nyingine nikijibu mtu mwingine halafu uniwekee maneno yako.
Kuelezea tu kuhusu post niliyogusia CDM imeingia kama uoga wa CCM kwao, baadae wamewaingiza mkenge na wenyewe na wakazama mazima kwa kuwaimbisha adui yao ni Magufuli.
Sasa nani alikuwa akiongoza agenda hiyo huko CDM kama sio Mbowe; mara ya mwisho kakamatwa akitokea South Africa miezi kadhaa Magufuli keshafukiwa.
Baada ya kukamatwa na serikali ya Samia akasota jela miezi kadhaa, akaachiwa kwa maridhiano; ila hadharani anamlaumu Magufuli. Sasa kama walikuwa wanataka maridhiano nae ya amani kwanini wamuweke Lupango.
Relation ya CDM hasa Mbowe na hii mada ni kwamba huko CCM wanataka kuiba mafanikio machache ya Magufuli na wanaelewa huyo mtu bado anakubalika mtaani. Mbowe katajwa kama sehemu ya mkakati kuhakikisha upande wake nako awatembelei huo upepo.
Topic ya mada kuzinduliwa rasmi kwa Ikulu, sub topic Magufuli na wanasiasa.
Haki ipi?Mimi ni anti Magufuli lakini kwa kweli kwenye tukio la leo hajatendewa haki. Eti ikulu imejengwa na Samia
Fala wewe, ulikuwa mhasibu au CAG ambaye anatakwimu za namna pesa zilikuwa zikiibwa?!
MAUSHUNGI kajitutumua maana anaona aibu kuacha kutaja jina la mwamba wa chato.Samia kaokoa legacy huku [emoji1787][emoji1787]
Kipindi dikteta Magufuli anazindua daraja la Kigamboni unakumbuka alimtaja JK hata kwa bahati mbaya?Zuhura yunisi ambaye ni mwandaaji wa simulizi ya ikulu naona anaowataja ni Nyerere, Mwinyi na Kikwete. hivi mnafikri watanzania bado wapo zama za giza Magufuli hata msipomtaja mawe yatamtaja, Kikwete sioni mchango wake hapo.
Sio kujitutumua walikuwa nae,hakuna mwamba hapo.MAUSHUNGI kajitutumua maana anaona aibu kuacha kutaja jina la mwamba wa chato.
Kazi imefanywa na imeonekana, mengine ni maigizo tu ya akina CHEKIBOBU KIKWETE.
Siwezi kujiita msomi niliyobobea wakati ni average Joe tu ninayapenda kujifunza walau basics lines of reasoning.Wanasema: if it looks like a duck, walks like a duck and quacks like a duck then it certainly is a duck.
Hakuna haja ya maneno mengi. Kama msomi uliyebobea itakuwa vyema sana uwasaidie nduguzo wa Sukuma Gang kwa kuingiza objectivity kwenye hoja zao. Manake wengi wao kwa hasira badala ya kuainisha vyema masuala huishia kufokafoka tu na kukashifu.
Halafu unapoingiza CDM unnecessarily kwenye mada za Magufuli unaishia ku-dilute hoja na kuhamisha focus toka kwa maadui zake wa kweli. Hilo ni kosa la kufisha (fatal mistake) alilofanya Magufuli enzi za uhai wake. Alikuwa obsessed na washindani wake wa kawaida akidhani ndio maadui wenyewe na kuwakumbatia maadui waliodhamiria kumpotezea mbali. It’s becoming clearer now. Wanazidi kupata nguvu. Soon wakikaa sawa watafutilia mbali kumbukumbu yake.
Yani wanaogopa mpaka kivuli Cha marehemZuhura yunisi ambaye ni mwandaaji wa simulizi ya ikulu naona anaowataja ni Nyerere, Mwinyi na Kikwete. hivi mnafikri watanzania bado wapo zama za giza Magufuli hata msipomtaja mawe yatamtaja, Kikwete sioni mchango wake hapo.
MAUSHUNGI ni dhaifu, hawezi kazi ya kiume ile. Amedebweda ndio maana mafisadi yanamshika makalio kiulaini.Sio kujitutumua walikuwa nae,hakuna mwamba hapo.
Hivi Ikulu imegharimu kiasi gani maana Msingi walisema imekula nondo za Bilioni 1.
Ndugu yangu .. ukikuwa utaacha.Hivi watz mtaacha lini upumbavu wa kutilia maanani vitu vidogo vidogo visivyo na faida kwenye maisha yenu na taifa kwa ujumla?
Kwani jina la Magufuri linge tajwa nchi ingeingeza bilion ngapi na baada ya kutotajwa nchi imepata hasara na billion ngapi?
Ulishawahi kujiuliza ni kwanini huwa tunafundishwa somo la Historia??Hivi watz mtaacha lini upumbavu wa kutilia maanani vitu vidogo vidogo visivyo na faida kwenye maisha yenu na taifa kwa ujumla?
Kwani jina la Magufuri linge tajwa nchi ingeingeza bilion ngapi na baada ya kutotajwa nchi imepata hasara na billion ngapi?
Sasa kama unajua ni kivuli uliona wapi kivuli kimejenga ikulu??Yani wanaogopa mpaka kivuli Cha marehem
Huwaogopi ila umejificha kwenye jina bandiaPost zangu zingine za 14 zimejikita kwenye hii mada, binafsi siwaogopi hao CDM wakitaka hiyo dose waanzishe hiyo mada.
Humu wewe utakuwa mtu wa mwisho kuhusu habari za CDM.
What about the souvenir Mwl Nyerere?Haki ipi?
Hivi akitajwa kitaongezeka nini kwa Magufuli?
Ambavyo hakutajwa kimepungua kitu gani?
Namkubali sana Magufuli lakini wakati mwingine tunatumia nguvu kubwa Kutaka atambulike kwenye kila kitu ilihali havimuongezei wala kumpunguzia chochote kwa sasa....
Katika kitu kigumu na kinachowaumiza Wafuasi wa JPM ni kukubali kwamba kwa sasa hayupo.....
Na waliokuwa wanamchukia JPM wameona hicho kidonda na kwenye kila tukio kubwa la kitaifa ambalo JPM alitakiwa Kukumbukwa wanampotezea kwa makusudi kabisa...yaani wanapiga kwenye kidonda....
Na wafuasi wa JPM bila kujua wanapiga kelele kwa maumivu bila kujua wanamfurahisha Adui....na yeye kila kukicha anaendelea kwa makusudi kupiga kwenye mshono.
Nililiona hili kitambo sana na kuamua kupotezea JPM akumbukwe asikumbukwe haina faida yoyote kwangu binafsi wala familia yangu....
Good reputation for the deceased is like the smell of good perfume that does not revive the dead.

RIP JPM
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app