Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Tatizo lako huwa unapanic mpaka unataka kurusha ngumi kupitia kishkwambi chako [emoji2957][emoji2957]
Wewe usiye panic ,
Kunywa dawa ya panya ukalitaje wewe lile liuwaji huko kuzimu liliko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo lako huwa unapanic mpaka unataka kurusha ngumi kupitia kishkwambi chako [emoji2957][emoji2957]
Huliogopi, kwani lipo tena ? , Si limeshatokomea kuzimu 😜😜😜😜Shetani hajawahi kuwepo ni upofu wenu tu na kudanganywa na hao waliowaletea utapeli wa Yesu na Muhammad.
Mchukie MAGUFULI, lakini usitafute uhalali wa kufanya hivyo kwa kutaja jina la Yesu au Muhammad, hatuyaogopi.
Usimlaumu sidhani kama ametaka iwe hivyo. Waliomzunguka ndio wameforce.huyo dada naye anazingua,...
Koma.... Tena ukome kama ulivyokoma kunyonya.Hivi watz mtaacha lini upumbavu wa kutilia maanani vitu vidogo vidogo visivyo na faida kwenye maisha yenu na taifa kwa ujumla?
Kwani jina la Magufuri linge tajwa nchi ingeingeza bilion ngapi na baada ya kutotajwa nchi imepata hasara na billion ngapi?
SahihiWatanxania wanataka maji, watanzania wanataka barabara, watanzania wanataka umeme, watanzania wanataka huduma bora za afya.
Watanzania wala hawana shida ya kujua nani hajatajwa kwenye ujenzi wa Ikulu.
Haya si ndiyo yakikua maneno ya kipundi kike? Au tunakosea wajameni?
Mkuu tunashukuru sana kwa kumbukizi makini. Hata Hayati JPM asipotajwa na wao, basi mawe yataendelea kumtaja na kushuhudia kazi zake nzuri kwa Taifa hili. Binafsi mwanzoni nilimchukia sana kabla sijaelewa kile alikuwa anakifanya kwa ajili ya manufaa ya Taifa hili baadaye. Huenda wengine pia watakuja kumwelewa Hayati JPM baadaye na dhamira yake ya maendeleo kwa Taifa letu.jpm yupo na ataendelea kuwepo[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2628506View attachment 2628507
Yes jiwe atatajwa na maweZuhura yunisi ambaye ni mwandaaji wa simulizi ya ikulu naona anaowataja ni Nyerere, Mwinyi na Kikwete. hivi mnafikri watanzania bado wapo zama za giza Magufuli hata msipomtaja mawe yatamtaja, Kikwete sioni mchango wake hapo.
Endeleeni na kampeni yenu kupigana na Marehemu. Lakini lakini hata Mawe yanajua kwamba ni Marehemu John Joseph Pombe Magufuli.
Alieamua kwa uthubutu mkubwa,kwa uzalendo mkubwa na kwa ujasiri wake...
Kwamba sasa Serikali inaenda Dodoma na Ikulu ianze kujengwa mara moja! Huo ndio ukweli halisi na historia haitabadilishwa kwa njama za mabazazi wachache wa kisiasa na wasakatonge wao!
Haya mengine ni unafiki jazz band ya Msoga Gang & Chawa wa Mama!
Imetoka hiyo!
Hayo yote ni masuala ya CCM. Na hizo ni hoja kuu za Sukuma Gang na hazina tatizo. Zinaeleweka; zinakubalika.Mie ata sijui sukuma gang ni hakina nani; interest zangu ni kuona mlalahoi anapata nafuu katika maisha.
Muda wenyewe wa kuishi Tanzania wastani ni miaka 65, kuna watu toka wanazaliwa mpaka wanaaga dunia kunywa soda tu ilikuwa ni luxury katika uhai wao; now that is sad.
Wakati mijitu inagawa mali za nchi ovyo, inawakaba na mitozo watu maskini, kuiba hela zao zilitengwa kuwaletea maendeleo na kupewa viongozi wasio na maono.
Hiko ndio kinachokera yaani kula chips kuku tu mtu anapiga picha ya kuringishia. Walau Magufuli alikuwa na huruma na hawa watu na kujaribu alivyoweza kuwapa unafuu.
Endeleeni na kampeni yenu kupigana na Marehemu. Lakini lakini hata Mawe yanajua kwamba ni Marehemu John Joseph Pombe Magufuli.
Alieamua kwa uthubutu mkubwa,kwa uzalendo mkubwa na kwa ujasiri wake...
Kwamba sasa Serikali inaenda Dodoma na Ikulu ianze kujengwa mara moja! Huo ndio ukweli halisi na historia haitabadilishwa kwa njama za mabazazi wachache wa kisiasa na wasakatonge wao!
Haya mengine ni unafiki jazz band ya Msoga Gang & Chawa wa Mama!
Imetoka hiyo!
Mawe yenyewe ndo kama kina Godbles LemaYes jiwe atatajwa na mawe
Huyu ni f.ala kama mafala wengine.Zuhura yunisi ambaye ni mwandaaji wa simulizi ya ikulu naona anaowataja ni Nyerere, Mwinyi na Kikwete. hivi mnafikri watanzania bado wapo zama za giza Magufuli hata msipomtaja mawe yatamtaja, Kikwete sioni mchango wake hapo.
Wasukuma rafiki zangu tulirni basi?Huyu ni f.ala kama mafala wengine.
Kuna chizi nimekutana nae hapa amekataa pia anasema hata yeye anajua mchango wa magufuri kwenye ikulu ya chamwino so usiseme hajui.Inashangaza sana kutokutambua mchango wa magufuli kuhusu ikulu ya chamwino.hata hivyo,ni chizi pekee ambaye hawezi kuona mchango wa magufuli kuhusu ikulu ya chamwino
Ameuwa wangapi kwenu kilaza mkubwa wewe?Magufuli lile liuwaji , jambazi na jizi la kura?