Ikulu ya Chamwino: Nani hasa anastahili credits?
Zuhura yunisi ambaye ni mwandaaji wa simulizi ya ikulu naona anaowataja ni Nyerere, Mwinyi na Kikwete. hivi mnafikri watanzania bado wapo zama za giza Magufuli hata msipomtaja mawe yatamtaja, Kikwete sioni mchango wake hapo.

Hatuwezi kumtaja shetani wacha mawe yamtaje na mashetani wenzio kama wewe
 
Unamuonea bure, amepewa script kama ametajwa kuwa ndio muandaaji ni mambo ya formalities tu
 
kwanza Magufuli hakuijenga ile ikulu, alianza ujenzi machi 2020, Magufuli amekufa machi 2021, alijengea kaburini? Sema aliweka jiwe la msingi. washamba wa kisukuma unaona hata kujitambulisha uko nao nchi moja. Ni majinga ndio maana yanaua kila mara. Hii nchi inajengwa nasi sote. Yule Magufuli alivyokuwa hana akili hii miradi asingeweza kuikamilisha. Tumshukuru Mungu ametunusuru
 
Wewe huna akili yupo wapi kina ulimbokwa,Yule muandishi aliyepigwa bomu na wengine wengi waliyoumia enzi za kikwete?wewe na wenzako ni waovu na hamfai na mnatakiwa kupigwa Vita
Unataka kusema kwakuwa mwangosi aliuwawa hivyo ni sawa kwa lisu kupigwa risasi?
 
Hata magufuli enzi za uhai wake alipokuwa akizindua miradi mbali mbali iliyoasisiwa na watangulizi wake alikuwa akitajwa kuwa ni yeye ndiye kaijenga. Kwahiyo tuache nongwa..Tumwache Samia achape KAZI na KAZI iendelee!
Mradi upi mfano? Twende kwa data! Kama hata kama lilikuwa wazo la JK alipenda kusema wazi bila kona kona! Machawa ndio wanaweza wasiseme ila sio JPM, yule yuko straight forward.
 
Iwe mwisho kuwa na Mzazibari atayetawala huku Tanganyika.

Ni watu wenye chuki sana na ni washirikina mno.
 
Zuhura yunisi ambaye ni mwandaaji wa simulizi ya ikulu naona anaowataja ni Nyerere, Mwinyi na Kikwete. hivi mnafikri watanzania bado wapo zama za giza Magufuli hata msipomtaja mawe yatamtaja, Kikwete sioni mchango wake hapo.

Magufuli atabaki kubwa aibu ya karne kwa taifa letu. Mwehu kuongoza nchi kwa miaka sita halisahaulika milele
 
Tanzania tuna methali mnyonge mnyongeni haki yake mpeni kama hawajamtaja magufuli wamekosea. Au walimuua?
 
Ndugu yangu Maxence Melo najua wewe una falsafa za kibeberu ndiyo maana ulikuwa humpendi JPM, lakini kupitia fact check tunaomba mtafute ukweli kuhusiana na mjenzi wa ikulu ya Chamwino na mkishaupata mtuletee hapa ili jamii isipotoshwe.

Asante.
 
Hayo yote ni masuala ya CCM. Na hizo ni hoja kuu za Sukuma Gang na hazina tatizo. Zinaeleweka; zinakubalika.

Sasa unapoingiza hapa masuala ya CHADEMA tena superficially, unajionyesha kuwa mtu aliye confused au “anayehaha” - hajui anapambania nini na nani.
Wewe mwenye akili unge quote hiyo post niliyoongelea CDM kuliko kuweka post nyingine nikijibu mtu mwingine halafu uniwekee maneno yako.

Kuelezea tu kuhusu post niliyogusia CDM imeingia kama uoga wa CCM kwao, baadae wamewaingiza mkenge na wenyewe na wakazama mazima kwa kuwaimbisha adui yao ni Magufuli.

Sasa nani alikuwa akiongoza agenda hiyo huko CDM kama sio Mbowe; mara ya mwisho kakamatwa akitokea South Africa miezi kadhaa Magufuli keshafukiwa.

Baada ya kukamatwa na serikali ya Samia akasota jela miezi kadhaa, akaachiwa kwa maridhiano; ila hadharani anamlaumu Magufuli. Sasa kama walikuwa wanataka maridhiano nae ya amani kwanini wamuweke Lupango.

Relation ya CDM hasa Mbowe na hii mada ni kwamba huko CCM wanataka kuiba mafanikio machache ya Magufuli na wanaelewa huyo mtu bado anakubalika mtaani. Mbowe katajwa kama sehemu ya mkakati kuhakikisha upande wake nako awatembelei huo upepo.

Topic ya mada kuzinduliwa rasmi kwa Ikulu, sub topic Magufuli na wanasiasa.
 
Iwe mwisho kuwa na Mzazibari atayetawala huku Tanganyika.

Ni watu wenye chuki sana na ni washirikina mno.
Wewe kwa kutumia ID yako fake? Umesahau kuna raisi alishawahi kwenda Malawi kuroga.
Wacha mambo yako ngosha
 
Kikwete aliacha jengo gani la serikali kuu Dodoma unalolijua wewe, zaidi ya mradi wake wa kitapeli akishirikiana na Rostam kuwajengea CCM jengo la mkutano at overprice.

Muwe na shukran watanzania hizo ndio laana zenyewe kutoka kwa mungu; halafu mnashangaa umaskini aushi na wala ampati viongozi wenye busara bali majizi tu kila siku.
UDOM amejenga mamako we ngedere, kwanza Magufuli hakujenga hiyo ikulu alianzisha tu ujenzi. Halafu JK usimfananishe na yule mshamba wenu. Ikulu 2 za kazi gani km una akili. JK ana akili sana amejenga mtandao mkubwa wa barabara nchi hii, amekujengea chuo kikuuu kikubwa kabisa Afrika na Kati. Ujenzi ulianza Machi 2020 Magufuli alikufa Machi 2021. Huyo Magufuli wenu aliijengea kaburini? Hata mamako atamjengea nyumba endelea kumwaza
 
Nimesikiliizaaaa nikawazaaa hivi simuliz yake haipit Kwa wahariri?Issue nyingine wazanzibari wamejazana,yaani nchi ndogo inatawala nchi kubwa.Watanganyika tunanyonywa sana,wajinga wengi mno na hii ni CCM ni tatizo
 
Back
Top Bottom