TikTok2020
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 1,816
- 3,150
Yani zuhura kaboa na simulizi yake anaonekana alikuwa anawahoji viongozi hap akiwa na mafua sijui yani kalikuwa kananiuzi😕
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lilikufila bila ndomu Nini naona una hasira siyo Bure itsbidi tukukague vizuriNiteseke na Shetani liko kuzimu??
Unayeteseka ni wewe unayeweweseka na kufikiri labda litarudi tena.
Kama unalipenda lile liuwaji kiukweli basi kunywa dawa ya panya ulifuate kuzimu ukalisifu liuwaji jizi
RIH. Shetani liuwaji
Unaweza kweli kuandaa makala ya serikali kuamia Dodoma wakati alietekeleza hilo agizo umuache.
Mbowe ameiuwa CDM, Lissu nae kastuka late kumtukana Magufuli akumjengei kaamua attack zake kwa juzi peleka kwa Samia na CCM kwa ujumla.
Hatua za Lissu zimekuja too late, isitoshe narrative anayoongea ni yeye peke yake, wenzake wameshaua credibility ya chama chao kuaminika kama mbadala wa CCM; wananchi wanawaona waganga njaa tu.
CCM ishukuru hakuna chama cha kutembelea upepo wa Magufuli 2025, halafu safu yao yenyewe ilivyo nyepesi sasa kwenye hoja na uwezo; wangesambaratishwa kama upepo.
Ubunge wa Magufuli wa kuuliwa watu sahauni.Kadange, hakuna ubunge wa dezo kwa vilaza [emoji16]
Kuna nguvu kubwa sana inatumika kujaribu kumficha Late Magufuli but ukweli wanaujua wananchi waliokuwa wanateseka kabla hajaongoza nchi.
Hawa hata kama atafichwa vipi still wanaujua umuhimu wake,hatutegemei mtu kama zuhra au yeyote yule aliyeko kwenye circle ya serikali ya leo amtaje Magufuli kwa zuri maana siye anayemlipa.
NB;mimi siyo mwanasiasa ila naongea uhalisia ulivyo.
..upepo upi wa magufuli unaouzungumzia?
..upepo wa siasa za chuki, ubaguzi, kubambikia kesi, kutekana, na kuuana?
Lilikufila bila ndomu Nini naona una hasira siyo Bure itsbidi tukukague vizuri
Na Bado bwawa la Nyerere daraja la busisi sgr na mengine mengi yote ni magufuli utakubali TU ukishajifungua mimba ya chuki aliyokuachia magufuliWa kukaguliwa ni wewe Unayeteseka na unayeweweseka na kufikiri labda litarudi tena.
Kama unalipenda lile liuwaji kiukweli basi kunywa dawa ya panya ulifuate kuzimu ukalisifu liuwaji jizi
RIH Magufuli
Na Bado bwawa la Nyerere daraja la busisi sgr na mengine mengi yote ni magufuli utakubali TU ukishajifungua mimba ya chuki aliyokuachia magufuli
Hao uliowataja wamedhurumiwa na kuuwawa na kutekwa wamelisaidia Nini taifa tuanzie hapo!!!!Kwani lile jizi lilitoa pesa mifukoni mwake? Si likichukua Kodi, likinyakuwa pesa Za watu Benki, liliiba pesa Forex , likateka wafanya biashara likauwa wapinzani
By the way hayo madaraja na SGR na mabwawa hayawezi kununua jicho la ndugu yetu aliyepigwa risasi na kupoteza jicho , kwa kuzuia wizi wa kura katika jitihada Za kuliweka liuwaji madarakani kwa nguvu
RIH Magufuli
Kumbe akili Zenu ni Kama Za wafuasi wa Pastor Mackenzie, hivi ukitolewa jicho au kufanywa kilema au kuuawa utakuwa umelisaidia taifa??Hao uliowataja wamedhurumiwa na kuuwawa na kutekwa wamelisaidia Nini taifa tuanzie hapo!!!!
Sasa kama huna faida Kwa taifa kama wewe Kwa Nini tusikutoe samaki mmoja akioza tunamtoa na kutupa asije akafanya wote wakaoza Kwa hiyo hata wewe kama huna mchango ni kufyekelewa mbali hatutaki kuwa na watu wa hasara kama wewe na hao wenzake wote uliowatajaKumbe akili Zenu ni Kama Za wafuasi wa Pastor Mackenzie, hivi ukitolewa jicho au kufanywa kilema au kuuawa utakuwa umelisaidia taifa??
Lile jizi kumbe likiwaibia mpaka akili zenu ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜
Na atakuja zaidi ya JPM naona JPM Bado sometimes alikuwa na ka huruma Fulani hivi mpaka mnyookee hatutaki nchi iwe na mashoga wavivu na mafisadi tutaelewana TU!!!!!!Sasa kama huna faida Kwa taifa kama wewe Kwa Nini tusikutoe samaki mmoja akioza tunamtoa na kutupa asije akafanya wote wakaoza Kwa hiyo hata wewe kama huna mchango ni kufyekelewa mbali hatutaki kuwa na watu wa hasara kama wewe na hao wenzake wote uliowataja
Na kwa nini lisitolewe lile linalotowa wenzake wacha likaisome namba kuzimuSasa kama huna faida Kwa taifa kama wewe Kwa Nini tusikutoe samaki mmoja akioza tunamtoa na kutupa asije akafanya wote wakaoza Kwa hiyo hata wewe kama huna mchango ni kufyekelewa mbali hatutaki kuwa na watu wa hasara kama wewe na hao wenzake wote uliowataja
Unaweweseka , unajijibu mwenyeweNa atakuja zaidi ya JPM naona JPM Bado sometimes alikuwa na ka huruma Fulani hivi mpaka mnyookee hatutaki nchi iwe na mashoga wavivu na mafisadi tutaelewana TU!!!!!!
🤣🤣🤣🤣Kwayo sukuma gang mnataka kuandamana kuanzia lini!??? [emoji848]