Uchaguzi 2020 Ikulu ya Marekani: Tutapitia tuhuma na kuwawajibisha wanaohusika na ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania

Wafa maji hawaishi kutapa tapa.
Wataelewa tu, sisi tushampigia kura nyingi mnoooo, na ndio zawadi ambayo watanzania tumeamua kumpa Dkt. John P. MAGUFULI
 
Hoja dhaifu kabisa
 
Hao Wamarekani si ndo wanawaua watu weusi kila siku huko? Nani anawachunguza?
Wote wanaoua weusi huko wana kesi, sio huku Polisi wanaua alafu kesi wanazihamishia kwa CHADEMA.Rejea mauaji ya Akwilina.
 
Ndio mjue maana ya umoja wa kitaifa kutoweka!Akija adui kuna watanzania wazawa kabisa wataungana naye ili mradi vita ni dhidi ya utawala huu unaonuka damu na ukatili wa hali ya juu!
Shame on this government!
Haswaa... Kama Waganda kwa ujumla wao walivyoungana na majeshi ya Tanzania kumfurusha Rais wao wa enzi hizo, dikteta Nduli Iddi Amin Dada
 
Hao Wamarekani si ndo wanawaua watu weusi kila siku huko? Nani anawachunguza?
Lizaboni habari za siku tele...naona umeibuka baada ya timu ya ushindi kufanya vyake.
 
Wajitahidi mwaka huu usiishe.
Ahaa Zimbabwe ya Mugabe hyoooo.
 
Wameshindwa Iran wamehamia kwetu.
Walishindwa Syria.
Watashindwa hata huku hili ni taifa la Mungu.
Responsibility yenyewe eti ya kuzuia watu kwenda kwao!! Kila mtu akae kwake.
Kushindwa Iran na Syria ni hoja nyepesi Sana, zungumzia kushindwa kwao kumewaacha vipi Syria
 
Yes taifa la Mungu kuliko mataifa yote duniani hahaha
 

Attachments

  • Screenshot_20201103_071245_com.android.gallery3d.jpg
    108.5 KB · Views: 1
  • Screenshot_20201103_071209_com.android.gallery3d.jpg
    61.4 KB · Views: 1
You have your own election, just deal with your own business, by the way are we allowed to interfere your election and give orders after the election?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…