Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Kondom mnapewa kama msaada.Slavery mentality.
Vyandarua mnapewa kama msaada.
Matundu ya vyoo wanawajengea bure.
Barabara wana wajengea.
Je hii sio slave mentality?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kondom mnapewa kama msaada.Slavery mentality.
Gadafi walianza nae mdogo mdogoMikwara imekua mingi sanaaa
Safari hii CCM badala ya kuiba kura wamelawiti uchaguzi
Wafa maji hawaishi kutapa tapa.Wimbo wa Amsterdam ft. Lissu umeshuka kutoka nafasi ya kwanza kwenye chati ya top ten ya wiki hii hadi nafasi ya 8, sasa ni Commonwealth , USA Embassy na White House..hahahahaha! KAdema nje ya mitandao ya kijammi ni wepesi sana, mkimaliza USA, UK, nenda kwenye matambiko...
Siku hizi mbona hakuna tena matamko mfululizo kutoka chadema?
Hoja dhaifu kabisaMakosa mawili hayasababishi halali moja (two wrongs don't make one right). Mara nyingi Lizaboni uko objective endelea kuwa hivyo.
Vitendo vilivyofanyika miaka 5 ya utawala wa Meko vimenajisi demokrasia.
Mfumowa Vyama vingi uko kisheria, kwa nini Meko asikaripiwe anavyokiuka mising ya Katiba aliyoapa kulinda?
Hata kama blacks wanakufa US haifanyi na sisi tuwaue akina Azory na Bensaananne au na wale wa MKIRU. US wanaosema kwa vile sisi ni nchi tegemezi kwenye Bajeti zetu za maendeleo hasa Afya, Miundombinu na Ulinzi.
ipo siku na hao aliowaliza kwa makusudi watachekaKweli JPM amejua kutufurahisha, kawakamata kunako, alishawatenga kitambo kabla hata hamjamtenga, hababaishwi na viza zenu.
Hoja dhaifu na ya kifala kabisa
Wote wanaoua weusi huko wana kesi, sio huku Polisi wanaua alafu kesi wanazihamishia kwa CHADEMA.Rejea mauaji ya Akwilina.Hao Wamarekani si ndo wanawaua watu weusi kila siku huko? Nani anawachunguza?
Haswaa... Kama Waganda kwa ujumla wao walivyoungana na majeshi ya Tanzania kumfurusha Rais wao wa enzi hizo, dikteta Nduli Iddi Amin DadaNdio mjue maana ya umoja wa kitaifa kutoweka!Akija adui kuna watanzania wazawa kabisa wataungana naye ili mradi vita ni dhidi ya utawala huu unaonuka damu na ukatili wa hali ya juu!
Shame on this government!
Lizaboni habari za siku tele...naona umeibuka baada ya timu ya ushindi kufanya vyake.Hao Wamarekani si ndo wanawaua watu weusi kila siku huko? Nani anawachunguza?
Consequences zitakapoanza tusianze kulia Lia Kama yatimaMikwara imekua mingi sanaaa
Hao Wamarekani si ndo wanawaua watu weusi kila siku huko? Nani anawachunguza?
Kushindwa Iran na Syria ni hoja nyepesi Sana, zungumzia kushindwa kwao kumewaacha vipi SyriaWameshindwa Iran wamehamia kwetu.
Walishindwa Syria.
Watashindwa hata huku hili ni taifa la Mungu.
Responsibility yenyewe eti ya kuzuia watu kwenda kwao!! Kila mtu akae kwake.
The United States commends the Tanzanian people for attempting to exercise their right to vote in the October 28 general elections. However, we remain deeply concerned by credible reports of significant and widespread voting irregularities, internet interruption, arrests, and violence by security forces both in mainland Tanzania and on Zanzibar. These irregularities call into question Tanzania’s commitment to democratic values. While the Tanzania Election Commission declared President Magufuli on October 30 as the winner of the presidential contest, we remain deeply troubled by the impact of these irregularities and violence on the results.
We continue to urge restraint by all parties and peaceful resolution of any disputes. We urge Tanzanian authorities to investigate allegations of irregularities and violence by security forces and ensure that all political actors have access to legal institutions to peacefully address electoral disputes.
We call on the Government of Tanzania to uphold the human rights and fundamental freedoms of all, including their freedom of expression and right of peaceful assembly, and to promote internet freedom and to ensure that all those arrested during demonstrations are afforded all applicable procedural safeguards. The United States, in coordination with our partners, will consider actions including visa restrictions, as appropriate, to hold accountable those found to be responsible for human rights abuses and interference in the election process.
The Tanzanian people, like people everywhere, deserve transparent and accountable governance, equal treatment under the law, and the ability to exercise their rights without fear of retribution. Achieving our shared goals and furthering our bilateral relationship will require ensuring that all stakeholders are represented and can fully exercise their roles in Tanzania’s democracy.
View attachment 1618469![]()
Widespread Irregularities Observed during the Tanzanian Elections - United States Department of State
The United States commends the Tanzanian people for attempting to exercise their right to vote in the October 28 general elections. However, we remain deeply concerned by credible reports of significant and widespread voting irregularities, internet interruption, arrests, and violence by...www.state.gov
Yes taifa la Mungu kuliko mataifa yote duniani hahaha
Nimewehi kusema hapa "Waafrica sisi ni watu wenye roho mbaya sana kama mzungu asingekuepo waafrica tungekua tunachinjana kama kuku! Mzungu ni mtu makini linapokuja swala la ustaarabu!Africa imejaa unafiki, acha wazungu waseme
Mkuu ukipost hivo faraja inakuja? Au bado maumivu tu? Nakushauri achana na kina Lissu mkuu, watakukondeshaAfrica imejaa unafiki, acha wazungu waseme