KAYABOMBICHI
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 296
- 142
Wameshindwa Iran wamehamia kwetu.
Walishindwa Syria.
Watashindwa hata huku hili ni taifa la Mungu.
Responsibility yenyewe eti ya kuzuia watu kwenda kwao!! Kila mtu akae kwake.
Kwani hali zao zikoje? Wewe mjuaji tuambie!Mbona husemi Raia wa hizo Nchi baada ya kufanikiwa kuwatoa hao Majeuri husemi hali zao sasa zikoje?
Huyu huyu trump ambae walipiga kura ya kutokuwa na imani nae, huyu huyu mwenye shutuma za kushirikiana na urusi ashinde u rais kipind cha uchaguzi wao? hvi wale polisi wanaoua weusi alishamaliza kuwawajibisha?Africa imejaa unafiki, acha wazungu waseme
Kwani hali zao zikoje? Wewe mjuaji tuambie!
Naona mmejazwa humu kuandika ujinga!Ukiona Mataifa makubwa yanaanza kutoatoa matamko kwenye nchi yako tambua umeshakomaa na una kitu wanachokitaka au wanafaidi toka kwako, na wakati mwingine ni utaratibu wa kidunia kupiga Mkwala.
We nyoosha mdomo tu, mwenyekiti wako sasa hivi anakuna kichwa huko alipo.Hao Wamarekani si ndo wanawaua watu weusi kila siku huko? Nani anawachunguza?
Mboga saba ya Kwanzaa hii hahahaa ukaamini kabisa lisu atashida ivi huwa mnafikilia kutumia nini nyinyi au mnafikili Uchaguzi NI Movie au play stationNaona mmejazwa humu kuandika ujinga!
Taifa la mungu wa lumumba.Wameshindwa Iran wamehamia kwetu.
Walishindwa Syria.
Watashindwa hata huku hili ni taifa la Mungu.
Responsibility yenyewe eti ya kuzuia watu kwenda kwao!! Kila mtu akae kwake.
Blacks are a cursed race.Kaombe uraia Marekani hujalazimishwa kuweka makalio Tanzania
Be free Nenda US ya nini ujitese umewekwa gundi?
Iraq na Libya zimepatwa na instabilities kwa sababu ya viongozi waliotangulia.Wa Libya sasa hivi wanafia baharini kwenda kuwa ma House boy huko kwa Waitaliano
Mungu wabariki WazunguThe United States commends the Tanzanian people for attempting to exercise their right to vote in the October 28 general elections. However, we remain deeply concerned by credible reports of significant and widespread voting irregularities, internet interruption, arrests, and violence by security forces both in mainland Tanzania and on Zanzibar. These irregularities call into question Tanzania’s commitment to democratic values. While the Tanzania Election Commission declared President Magufuli on October 30 as the winner of the presidential contest, we remain deeply troubled by the impact of these irregularities and violence on the results.
We continue to urge restraint by all parties and peaceful resolution of any disputes. We urge Tanzanian authorities to investigate allegations of irregularities and violence by security forces and ensure that all political actors have access to legal institutions to peacefully address electoral disputes.
We call on the Government of Tanzania to uphold the human rights and fundamental freedoms of all, including their freedom of expression and right of peaceful assembly, and to promote internet freedom and to ensure that all those arrested during demonstrations are afforded all applicable procedural safeguards. The United States, in coordination with our partners, will consider actions including visa restrictions, as appropriate, to hold accountable those found to be responsible for human rights abuses and interference in the election process.
The Tanzanian people, like people everywhere, deserve transparent and accountable governance, equal treatment under the law, and the ability to exercise their rights without fear of retribution. Achieving our shared goals and furthering our bilateral relationship will require ensuring that all stakeholders are represented and can fully exercise their roles in Tanzania’s democracy.
View attachment 1618469Widespread Irregularities Observed during the Tanzanian Elections - United States Department of State
The United States commends the Tanzanian people for attempting to exercise their right to vote in the October 28 general elections. However, we remain deeply concerned by credible reports of significant and widespread voting irregularities, internet interruption, arrests, and violence by...www.state.gov
Ndio maana mnaitwa mazwazwa! Mmekaririshwa ujinga na mnaishia kutuletea upuuzi humu, kila uzi mnavamia na comments za kijinga kabisa. Mmefanya jukwaa limekuwa la hovyo.Mboga saba ya Kwanzaa hii hahahaa ukaamini kabisa lisu atashida ivi huwa mnafikilia kutumia nini nyinyi au mnafikili Uchaguzi NI Movie au play station
Hilo jina ni aheri ungejiandika DR JUHA.Mboga saba ya Kwanzaa hii hahahaa ukaamini kabisa lisu atashida ivi huwa mnafikilia kutumia nini nyinyi au mnafikili Uchaguzi NI Movie au play station
Nani atakomolewa sasa kama sio wewe na watoto wakoHawa ndio wenye mbwa, ukisikia kelele pesa zetu za ndani, sijui hela zetu chini ya kapeti wanawalamba hawa wenye mbwa makalio kupata pesa.
Sasa subiri hao wenye mbwa wakasirike, usishangae hata SGR ama bwawa la Nyerere lisikamilike.
Nakwambia waafrika ni mavi, jitu zima linatetea uovu, uuaji,ukatili, ubakaji etc etcKuna watu humu wanajitoa akili, au ndiyo akili zoo, kweli unadiriki kuutetea wizi na unyama uliofanyika bila kificho, kweli sisi waafrika tuna matatizo ya akili