Uchaguzi 2020 Ikulu ya Marekani: Tutapitia tuhuma na kuwawajibisha wanaohusika na ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania

Uchaguzi 2020 Ikulu ya Marekani: Tutapitia tuhuma na kuwawajibisha wanaohusika na ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania

Taifa la Mungu kwl lkn shetani anataka kuliharibu
Wameshindwa Iran wamehamia kwetu.
Walishindwa Syria.
Watashindwa hata huku hili ni taifa la Mungu.
Responsibility yenyewe eti ya kuzuia watu kwenda kwao!! Kila mtu akae kwake.
 
Africa imejaa unafiki, acha wazungu waseme
Huyu huyu trump ambae walipiga kura ya kutokuwa na imani nae, huyu huyu mwenye shutuma za kushirikiana na urusi ashinde u rais kipind cha uchaguzi wao? hvi wale polisi wanaoua weusi alishamaliza kuwawajibisha?
 
Ukiona Mataifa makubwa yanaanza kutoatoa matamko kwenye nchi yako tambua umeshakomaa na una kitu wanachokitaka au wanafaidi toka kwako, na wakati mwingine ni utaratibu wa kidunia kupiga Mkwala.
Naona mmejazwa humu kuandika ujinga!
 
Naona mmejazwa humu kuandika ujinga!
Mboga saba ya Kwanzaa hii hahahaa ukaamini kabisa lisu atashida ivi huwa mnafikilia kutumia nini nyinyi au mnafikili Uchaguzi NI Movie au play station
 
Wameshindwa Iran wamehamia kwetu.
Walishindwa Syria.
Watashindwa hata huku hili ni taifa la Mungu.
Responsibility yenyewe eti ya kuzuia watu kwenda kwao!! Kila mtu akae kwake.
Taifa la mungu wa lumumba.
 
Wa Libya sasa hivi wanafia baharini kwenda kuwa ma House boy huko kwa Waitaliano
Iraq na Libya zimepatwa na instabilities kwa sababu ya viongozi waliotangulia.

Nchi inapokuwa haina strong institutions na democracy halafu mtu, mfano,Gaddafi au Saddam amejikusanyia madaraka yote (centralization of power) siku akiondoka au kuondolewa kwa nguvu panatokea power vacuum.

Sasa makundi mbalimbali yaliyokuwa yanafaidika au kukandamizwa na dikteta dhalimu huwa yanaamka kupambana ili ku fill that political vacuum.

Mfano mwingine mzuri ni Somalia baada ya Siad Barre.

Strongmen huwa wanaacha matatizo kila wanapoondoka! Mifano ni mingi.

Sasa mnapoleta propaganda uchwara humu, mfahamu si kila mtu humu ni dimwit.
 
Ni Kwa kosa lipi la kuwawajibisha watu wetu?

Ni Kwa sababu tumekataa kuwa watumwa Chini ya mwamvuli wao Tundo siyo?

Na ole waseme hicho wanachotaka kusema, Corona italamba mpaka Ikulu yao
 
The United States commends the Tanzanian people for attempting to exercise their right to vote in the October 28 general elections. However, we remain deeply concerned by credible reports of significant and widespread voting irregularities, internet interruption, arrests, and violence by security forces both in mainland Tanzania and on Zanzibar. These irregularities call into question Tanzania’s commitment to democratic values. While the Tanzania Election Commission declared President Magufuli on October 30 as the winner of the presidential contest, we remain deeply troubled by the impact of these irregularities and violence on the results.

We continue to urge restraint by all parties and peaceful resolution of any disputes. We urge Tanzanian authorities to investigate allegations of irregularities and violence by security forces and ensure that all political actors have access to legal institutions to peacefully address electoral disputes.

We call on the Government of Tanzania to uphold the human rights and fundamental freedoms of all, including their freedom of expression and right of peaceful assembly, and to promote internet freedom and to ensure that all those arrested during demonstrations are afforded all applicable procedural safeguards. The United States, in coordination with our partners, will consider actions including visa restrictions, as appropriate, to hold accountable those found to be responsible for human rights abuses and interference in the election process.

The Tanzanian people, like people everywhere, deserve transparent and accountable governance, equal treatment under the law, and the ability to exercise their rights without fear of retribution. Achieving our shared goals and furthering our bilateral relationship will require ensuring that all stakeholders are represented and can fully exercise their roles in Tanzania’s democracy.

View attachment 1618469
Mungu wabariki Wazungu
 
Mboga saba ya Kwanzaa hii hahahaa ukaamini kabisa lisu atashida ivi huwa mnafikilia kutumia nini nyinyi au mnafikili Uchaguzi NI Movie au play station
Ndio maana mnaitwa mazwazwa! Mmekaririshwa ujinga na mnaishia kutuletea upuuzi humu, kila uzi mnavamia na comments za kijinga kabisa. Mmefanya jukwaa limekuwa la hovyo.

Wengi hamjui kuandika! Hata matumizi ya herufi kubwa na ndogo ni shida!

Nenda kwanza kajifunze matumizi ya R na L, sarufi na matumizi ya nukta na koma.
 
Kwa ujumla, Wazungu wana ubinadamu maradufu ya waafrika. Uovu upo Duniani kote lakini kuna tofauti kubwa katika kuushughulikia.

AFRICA uovu mkubwa unafanywa na serikali dhidi ya watu wake, na unalindwa na watawala na dola

WAZUNGU uovu unafanywa na watu binafsi, unapigwa vita na Serikali. Na kama itatokea umefanywa na serikali, hauwezi kuwa dhidi ya watu wao.

Wazungu watazidi kubarikiwa kwa sababu kwa kiasi kikubwa wanaishi kwa kuitafuta na kuilinda haki.

Waafrika tutazidi kulaanika kwa sababu mara nyingi tunahangaika kuua haki.

Tunawaombea wazungu, na tutawashukuru sana kila watakapofanya jitihada za kuifanya Tanzania kuwa nchi inayoongozwa kwa haki kuliko kuifanya nchi kuwa dangulo la kuulia haki na uhuru kama ilivyo awamu hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mboga saba ya Kwanzaa hii hahahaa ukaamini kabisa lisu atashida ivi huwa mnafikilia kutumia nini nyinyi au mnafikili Uchaguzi NI Movie au play station
Hilo jina ni aheri ungejiandika DR JUHA.

Ungewaacha wenye uelewa wachangie. Wewe yawezekana ni darasa 3 mbumbumbu. Hata kuandika maneno machache tu ya Kiswahili hoi!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa ndio wenye mbwa, ukisikia kelele pesa zetu za ndani, sijui hela zetu chini ya kapeti wanawalamba hawa wenye mbwa makalio kupata pesa.

Sasa subiri hao wenye mbwa wakasirike, usishangae hata SGR ama bwawa la Nyerere lisikamilike.
Nani atakomolewa sasa kama sio wewe na watoto wako
 
Huko ni kuota mchana kweupe MANAZI WA CHADEMA mnasafari ndefu. Tanzania ni taifa huru haliwezi kuingiliwa mambo yake ya ndani hata siku moja.

sent from HUAWEI
 
Kuna watu humu wanajitoa akili, au ndiyo akili zoo, kweli unadiriki kuutetea wizi na unyama uliofanyika bila kificho, kweli sisi waafrika tuna matatizo ya akili
Nakwambia waafrika ni mavi, jitu zima linatetea uovu, uuaji,ukatili, ubakaji etc etc
 
Back
Top Bottom