Uchaguzi 2020 Ikulu ya Marekani: Tutapitia tuhuma na kuwawajibisha wanaohusika na ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania

Uchaguzi 2020 Ikulu ya Marekani: Tutapitia tuhuma na kuwawajibisha wanaohusika na ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania

Slavery mentality. Waambie waje watuvamie ili wakupe wewe urais tuone kama utadumu hata mwaka mmoja kabla hatujakutia kerebu ya nguvu.

Wanachoweza kufanya ni kutunyima misaada yao. Sisi tutaendelea na kazi kama kawaida hatutishwi walishatunyima misaada tena siku za nyuma wakati wa Nyerere lakini tuliendelea kama kawaida as long as kuna nchi na jumuia za kimataifa zimeutambua uchaguzi wetu kuwa ulikuwa huru na haki US waendelee tu kupiga kelele watakavyo kwa kuwa vibaraka wao hawakupata kura kama ambavyo walitegemea watz wamewanyoosha.

Kabali yao kipindi cha Nyerere si ndio watu walivaa viraka, na kupanga foleni kupata mahitaji muhimu kama sukari, sabuni nk? Hao wazungu wachukulie hatua kali hili genge haramu la CCM.
 
Uchaguzi umefanyika,matokeo tumeyaona walioshinda chaguzi wamejulikana,watz tupige kazi na mabeberu watuache na nchi yetu.
 
And hold accountable those responsible? Kwani hapa ni Miami?
 
Wataishia kuwafutia visa ya marekani. Bahati nzuri Magu hashobokei safari za huko.
 
Njoeni myuokoe utumwani achani kuwasikiliza hawa vibaraka waliotumwa na ccm wanaotetea hapa ni kweli tuko pabaya.., there is huge violation of human right in tanzania
 
Ni Unafiki kukosoa tabia ya Jirani yako anaemdunda Mkewe kila mara wakati wewe ikipita Miezi miwili Mkeo hujampiga majiran wanajiuliza Jamaa kimya vipi kasafiri?
Kwa marekani ikiwapa misaada ya pesa huwa masikini wamekwisha kwao? Kukosoana si lazima mkosoaji awe malaika
 
Imeisha hiyooooo. Joe Biden anachukua nchi na hao manyang"au yote yanatumbuliwa, pumbavu kabisa.
Nyang'au ni wewe ambaye hujui sera za mambo ya nje huwa hazibadiliki regardless ya nani anakuwa madarakani!
 
Kabali yao kipindi cha Nyerere si ndio watu walivaa viraka, na kupanga foleni kupata mahitaji muhimu kama sukari, sabuni nk? Hao wazungu wachukulie hatua kali hili genge haramu la CCM.
Wakati huo ilikuwa baada ya vita ya kumwondoa Nduli Idd Amin mkuu kasome vizuri utaelewa.
 
to have your own election does not give you authority to kill others,who gave you authority to grab other's rights. Even you kill your own son,you will be held responsible. You must observe human rights
Human rights my foot, what about those niggers being killed by American cops have ever raised your fucking voice?
 
Sahihi kabisa. Kama tulipambana na Corona kwa nguvu za Mungu basi hata hili la Marekani halitusumbui.
Kazi kubwa ya Marekani ni kutengeza majanga na wakishindwa kuleta waliyoyaahidi wanakimbia wanawaacha mnateseka. Hebu angalia mifano: Yemen, Libya, Iraq, Afghanistan n.k. Sasa hivi wamewakimbia na kuacha wanachinjana wenyewe kwa wenyewe.

Eti, Marekani! Kama Marekani ni nchi yenye kufata haki za binadamu watu weusi wangekuwa wanauwawa kama mbwa. Wana raisi anayetamka wazi kuwa bwawa la Ethiopia lipigwe mabomu..bahati nzuri leo ni uchaguzi huko kwao na inategem,ewa atang'olewa.
 
Nimerudi, Maumivu niliyonayo MUNGU pekee ndie anaejua. MUNGU nakuomba alietupitisha kwenye madhila haya utulipie Kwa haki.
 
Back
Top Bottom