Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Kaombe uraia Marekani hujalazimishwa kuweka makalio Tanzania
Be free Nenda US ya nini ujitese umewekwa gundi?
Kwani wewe kuna mtu unamwekea makalio Tz?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaombe uraia Marekani hujalazimishwa kuweka makalio Tanzania
Be free Nenda US ya nini ujitese umewekwa gundi?
Slavery mentality. Waambie waje watuvamie ili wakupe wewe urais tuone kama utadumu hata mwaka mmoja kabla hatujakutia kerebu ya nguvu.
Wanachoweza kufanya ni kutunyima misaada yao. Sisi tutaendelea na kazi kama kawaida hatutishwi walishatunyima misaada tena siku za nyuma wakati wa Nyerere lakini tuliendelea kama kawaida as long as kuna nchi na jumuia za kimataifa zimeutambua uchaguzi wetu kuwa ulikuwa huru na haki US waendelee tu kupiga kelele watakavyo kwa kuwa vibaraka wao hawakupata kura kama ambavyo walitegemea watz wamewanyoosha.
Haya bana ngoja tuombe ila Mbowe na Lissu wanatusaidia ila hatujielewiNimefunga maombi mazito kabisa Root
Kwa marekani ikiwapa misaada ya pesa huwa masikini wamekwisha kwao? Kukosoana si lazima mkosoaji awe malaika
Nyang'au ni wewe ambaye hujui sera za mambo ya nje huwa hazibadiliki regardless ya nani anakuwa madarakani!Imeisha hiyooooo. Joe Biden anachukua nchi na hao manyang"au yote yanatumbuliwa, pumbavu kabisa.
Wakati huo ilikuwa baada ya vita ya kumwondoa Nduli Idd Amin mkuu kasome vizuri utaelewa.Kabali yao kipindi cha Nyerere si ndio watu walivaa viraka, na kupanga foleni kupata mahitaji muhimu kama sukari, sabuni nk? Hao wazungu wachukulie hatua kali hili genge haramu la CCM.
Human rights my foot, what about those niggers being killed by American cops have ever raised your fucking voice?to have your own election does not give you authority to kill others,who gave you authority to grab other's rights. Even you kill your own son,you will be held responsible. You must observe human rights
Kweli hao Wanzugu nimeamini ni wanaume wako dah wanakufuaidiAfrika imejaa unafiki, acha wazungu waseme.
Kweli hao Wanzugu nimeamini ni wanaume wako dah wanakufuaidi
Kazi kubwa ya Marekani ni kutengeza majanga na wakishindwa kuleta waliyoyaahidi wanakimbia wanawaacha mnateseka. Hebu angalia mifano: Yemen, Libya, Iraq, Afghanistan n.k. Sasa hivi wamewakimbia na kuacha wanachinjana wenyewe kwa wenyewe.Sahihi kabisa. Kama tulipambana na Corona kwa nguvu za Mungu basi hata hili la Marekani halitusumbui.
Pole mamaNimerudi, Maumivu niliyonayo MUNGU pekee ndie anaejua. MUNGU nakuomba alietupitisha kwenye madhila haya utulipie Kwa haki.
Nakuambia ipo siku tutaamka wenyewe na hali itakuwa mbaya zaidiHaya bana ngoja tuombe ila Mbowe na Lissu wanatusaidia ila hatujielewi