Hercule Poirot
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 1,718
- 1,481
Uki google hio fax ni ya ofisi ya rais ikulu dsm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, ninakushukuru kwa andiko lako!.
Crimea wameachana na Ukraine pamoja na kuwepo kwa makaratasi ya Muungano ambayo kwa sasa hayo makaratasi ni kaput.
Muungano wa nchi siyo karatasi bali matakwa ya wananchi. Kama wananchi wakitaka kuachana na Muungano kama ilivyofanyika Crimea, hayo makaratasi yanakuwa ni sentimental.
Hoja ya hati ya Muungano ni hoja muflisi kwa kweli.. sijui kwanini watu wasomi wameing'ang'ania hii! Hivi uhalali wa Muungano unategemea uwepo wa haki ya Muungano? Je kama cheti cha ndoa au pete ya ndoa imepotea ina maana ndoa haina uhalali? Hivi uhalali wa mkataba wowote unategemea uwepo wa nyaraka za mkataba huo hasa kama pande zote zinakubaliana kuwa mkataba ulisainiwa na ushahidi wa watu kusaini na yaliyomo mwenye hiyo hati yanajulikana?
Ni shidaa
inaonekana imepokelewa leo saa9 kwa fax ahhhhhhh toka wapi sijui?
Acha ujinga wewe unadhani walikuwa wanasaini hati ya ndoa.Mkuu,Unauhakika gani kama hii picha watu wawili hao walikuwa wanasaini hati ya muungano
Wameingia wenyewe kwenye 18
Kwa nini bavicha mnamatatizo makubwa kiasi hiki kila kinachofanyika kwenu ni hapana basi nadhani kazi ya kuuza bangi inawafaa.Ikulu imekuwa jumba la sanaa.