Ng'wamapalala
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 6,811
- 6,503
Mkuu, hebu nipe hilo darasa!.Kama hujuhi kuhusu Crimea Uliza au Google ujifunze na sio kupotisha, Aliyekuambia Crimea iliungana na Ukrain nani?
Naomba nikuulize maswali yafuatayo:-
1. Kuna hati ngapi za Muungano?
2. Kama hii ni halali je zile zilizowasilishwa hapo Mwanzo zikiwa na Saini za Nyerere na Msekwa tu na saini zenyewe feki ni nani alizipeleka kule?
3. Na Lengo la Mpelekaji wa hizo za awali lilikuwa nini?
4. Je msukumo huo wa kuionyesha hati hiyo na kuipeleka Bungeni umetokana na nini? (Jibu ni TUNDU LISSU)
Tambua kuwa kama hiki kilichoonyeshwa ni sahihi hapa ndipo CCM walipoingia CHOO CHA KIKE kwani waliyokuwa wakiyaficha katika hati hiyo yatabainika hadharani na ukweli utajulikana.
Naomba nikuulize maswali yafuatayo:-
1. Kuna hati ngapi za Muungano?
2. Kama hii ni halali je zile zilizowasilishwa hapo Mwanzo zikiwa na Saini za Nyerere na Msekwa tu na saini zenyewe feki ni nani alizipeleka kule?
3. Na Lengo la Mpelekaji wa hizo za awali lilikuwa nini?
4. Je msukumo huo wa kuionyesha hati hiyo na kuipeleka Bungeni umetokana na nini? (Jibu ni TUNDU LISSU)
Tambua kuwa kama hiki kilichoonyeshwa ni sahihi hapa ndipo CCM walipoingia CHOO CHA KIKE kwani waliyokuwa wakiyaficha katika hati hiyo yatabainika hadharani na ukweli utajulikana.
Lisu utakumbukwa daima umewafanya ccm na ikulu kutoa hati ya muungano wewe no mwanaume..
walioiomba hati siyo waandishi wa habari, ni wabunge wa bunge la katiba tunatakaka ipelekwe huko na wala sii hizi sarakasi.
Tundu Lissu anahoja nzuri sana.Tatizo ni kusema kuwa HATI hiyo haipo...nahisi kuna namna ya utunzaji wa Vitu muhimu na kuna utaratibu wa kuvitoa...Siyo kila kitu kukiweka weka hovyo tu. Pili kama hiyo hati ni Original huoni kuwa Tundu Lissu na kundi lake watakuwa wameaibika? Kwa jinsi tulivyo mpa sifa leo halafu ije onekana tumetoa sifa kipumbavu aisee itaniuma sana.
Hivi uhalali wa mkataba wowote unategemea uwepo wa nyaraka za mkataba huo hasa kama pande zote zinakubaliana kuwa mkataba ulisainiwa na ushahidi wa watu kusaini na yaliyomo mwenye hiyo hati yanajulikana?
Nimekumbuka suala la mikataba ya Wachina kuwekwa hadharani ndani ya siku saba lakini hadi leo haijaooneka
nahisi kuna namna ya utunzaji wa Vitu muhimu na kuna utaratibu wa kuvitoa...Siyo kila kitu kukiweka weka hovyo tu.
Ni halali kabisa Tz kubaki kama ilivyo kama wasomi na wapiga kura wake ndo wanaweza kutoa mawazo kama wewe.ni mawazo ya kipumba..fu kabisa.
aisee hadi raha tanganyika yangu karibu sana.
tarehe 14 April 2013 ilikuwa jumapili ......sio
siku ya kazi, ??????
Safi sana Ikulu kwa kukata mzizi wa fitina.
Kwa sasa kelele za hati ya muungano zimekatwa. Tuendelee na mijadala ya msingi yenye maslahi kwa taifa.
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itadumu ingawa ina maadui wengi. Pamoja tutashinda.
hawajaaibika,kwanini hiyo hati hawataki kuionyesha mwanzoni??Tundu Lissu anahoja nzuri sana.Tatizo ni kusema kuwa HATI hiyo haipo...nahisi kuna namna ya utunzaji wa Vitu muhimu na kuna utaratibu wa kuvitoa...Siyo kila kitu kukiweka weka hovyo tu. Pili kama hiyo hati ni Original huoni kuwa Tundu Lissu na kundi lake watakuwa wameaibika? Kwa jinsi tulivyo mpa sifa leo halafu ije onekana tumetoa sifa kipumbavu aisee itaniuma sana.