Ikulu Yaita Waandishi Wa Habari kuwaonesha Hati Ya Muungano

Mkuu Mwanakijiji usijidhalilishe kiasi hiki kati ya waliokuwepo wakati huo wamekana kuiona hiyo hati sasa na wewe unatuletea hadith za kusadikika eti Unalinganisha ndoa na suala la Huu muungano umetia aibu kuleta hoja mufilisi za CCM

Duh! Huyu mwanakijiji kumbe kachuja namna hii? I am shocked! Ukitokea mtafaruku kwenye ndoa ni lazima vyeti vya ndoa ni lazima. Kama ameoa mshaurini atunze vyeti vyake.
 
Hiyo no fax no. Imetumwa tarehe 14 April 2013imetokea wapi hiyo?kwa nini ikulu inachanganya watu? Si wanasema walikuw wameitunza ilikuwa mahali sasa hiyo kutumwa kwa fax ilikuwa wapi

Mkuu utawafanya maccm shell nayo zaidi ipande kwani BP tayari iko 380
 
Waandishi mliopewa nakala tuwekeeni nakala zinazosomeka tuone hayo makubaliano yalikuwa ni yepi.
 
I am neither here nor there, the more squabbling there is the more they validate my idea of zero government.

Having said that...

Hati ilithibitishwa na Baraza la Wawakilishi Zanzibar?
 

Propaganda hii ya kijinga! Hapa ni kwa ma-GT!
 

it is too late to catch the plane at this juncture
 
Habari

Nina mashaka na hati hii iliyotolewa leo ikulu eti ni hati halali ya muungano.

KATIBU KIONGOZI OMBENI SEFUE amewaambia waandishi kuwa sasa itawekwa ktk makumbusho sehemu mbalimbali nchini.

Mbona mwanzo haikuwekwa?

MBONA awali hati iliyopelekwa bungeni ilikuwa na utata hasa ktk saini ya JKN?

JE IMEKWENDA KUCHAKACHULIWA BAADA YA AKINA TUNDU NA JUSSA KUCHACHAMAA?

TUJADILI.
 


Kumbe tulifanyamakosa kuwatimua wengereza Tanganyika na kuwafukuza masultani zanzibar?

Kwa hoja ya kuishi miaka mingi na utawala,ndoa,au muungano ndio imekua halali tukawaomberadhi wakoloni coz walitawala miaka mingi kuliko muungano wetu wa Tz.
 

why notthe whole text?
 
Zitakuwa mbili, moja iko Tanganyika moja iko Zanzibar, ulitaka zote zikae Tanganyika?

Hapana. Mbona sasa Zanzibar wanadai hawana? Amani Karume alimwambia Warioba na tume yake kuwa Mkataba wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar haupo.

Warioba akadai kuwa mkataba huo upo. Karume nae akamjibu “Niletee niuwone." Ina maana miaka yote aliyokaa kwenye Ikulu ya Zanzibar hajawahi kuuona huo mkataba?

Hiyo nakala ya Zanzibar huwa inahifadhiwa wapi? Maana hata Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar alishadai tena mbele ya mahakama kuwa Zanzibar haina huo mkataba na wala ofisi yake haina mkataba huo.

Nakala nyingine ipo Zanzibar, where exactly? Halafu what is so secret in this hati mpaka uwe wa siri hivyo.

This damn thing should be in the public so people can read and study.

I don't understand wale woote waliofanya Ph.D studies za muungano walifanyaje bila kuwa na primary source ya study husika.
 
it is too late to catch the plane at this juncture

Ina maana hii hati kama iko Zanzibar ilikuwa imefichwa na nani kwakuwa rais wa Zanzibar aliwahi kusema hajawahi kuiona. Mbona basi ikulu ya Dar ilimficha?
 
Kwani kuna mgogoro kati ya Tanzania na Zanzibar mpaka kuelekea kudai hati hii kuoneshwa? Mh lisu acha kutuvuruga.
 

Mkuu kama ulimsikia TL kuna siku aliwaasa UKAWA kuwa wasikimbie gemu hili ni size yao.na kweli nimeamini TL alimaanishaa.
 
KM Kiongozi anadai kuwa hati hiyo ni muhimu sana ndo maana ilifichwa. Ameenda mbele zaidi na kudai wataweka nakala kwenye makumbusho ya taifa. 50 years ndo umuhimu wa kuiweka kwenye makumbusho unaonekana. Kama haichekeshi basi inashangaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…