sasa ubishi uko wapi, basi rudisheni mataifa yaliyoungana Tanganyika na Zanzibar, tunaipenda tanzania ila hati ya muungano inasema zanzibar imeungana na Tanganyika, tufanye tanganyika imekufa, basi zanzibar ndo liwe taifa maana tanganyika imekufa, wanataka kusema kuna muungano wa zanzibar na tanzania au zanzibar na Tanganyika??
Sijasikia mkuu nisaidia kaitooa wapi?Ina maana hujasikia aliposema hati alipoitoa au ni mgumu wa kuelewa?
Mwanaume anatakiwa awe straight! haina haja ya kupindisha! Lazima kuna kitu mnakitafuta zaidi ya serikali 3! Just go straight hamuutaki muungano kuliko kuhoji hati! Hati ili iwaje?
Mwanaume anatakiwa awe straight! haina haja ya kupindisha! Lazima kuna kitu mnakitafuta zaidi ya serikali 3! Just go straight hamuutaki muungano kuliko kuhoji hati! Hati ili iwaje?
Hii ni fax ya leo saa tatu na dk 55 nahisi mwaka utakuwa umekosewa kwani leo ni tarehe 14 aprili 2014...sidhani kama ni kutokea tu mwaka mmoja uliopita tarehe kama ya leo fax hio imetolewa leo
Serikali mbili ni kama huyu jamaa anajifunua kqnzu kwa kudhani kavaa bukta kumbe hajaivaa...so hakuna la maana ni ujinga na ushenzi mtupu
Watuwekee na ushahidi wa picha za kutia sahihi!!
Hapa sasa ni kuweka nukuu za wale wote waliotoa kauli za uongo kuhusu hati ya muungano. Jamani itafutwe namna ya mtu kusema uwongo bungeni achukuliwe hatua na ikulu iwe inatoa majibu haraka kuliko kuwaacha waongo waeneze uongo wao.
Sasa mmeiona mmebadilika nini sasa.
Hio hapo
Hapa sasa ni kuweka nukuu za wale wote waliotoa kauli za uongo kuhusu hati ya muungano. Jamani itafutwe namna ya mtu kusema uwongo bungeni achukuliwe hatua na ikulu iwe inatoa majibu haraka kuliko kuwaacha waongo waeneze uongo wao.
Sasa mmeiona mmebadilika nini sasa.
Serikali mbili ni kama huyu jamaa anajifunua kqnzu kwa kudhani kavaa bukta kumbe hajaivaa...so hakuna la maana ni ujinga na ushenzi mtupu
Sasa mbona walichelewa kuitoa?Kwanini waitoe baada ya watu kugombana Bungeni?
serikali mbili ni kama huyu jamaa anajifunua kqnzu kwa kudhani kavaa bukta kumbe hajaivaa...so hakuna la maana ni ujinga na ushenzi mtupu