Ikulu Yaita Waandishi Wa Habari kuwaonesha Hati Ya Muungano

Ikulu Yaita Waandishi Wa Habari kuwaonesha Hati Ya Muungano

sasa ubishi uko wapi, basi rudisheni mataifa yaliyoungana Tanganyika na Zanzibar, tunaipenda tanzania ila hati ya muungano inasema zanzibar imeungana na Tanganyika, tufanye tanganyika imekufa, basi zanzibar ndo liwe taifa maana tanganyika imekufa, wanataka kusema kuna muungano wa zanzibar na tanzania au zanzibar na Tanganyika??

Hebu jitoe fahamu kidogo tu uyaulize yale maroboti na misukue ya mnazi mmoja usikie majibu yake hadi ushangae.
 
Mbona hakuna sehemu ya umoja wa Mataifa, nani alikuwa msimamizi?
Huu ni usanii tu hakuna Muungana unaofanywa locally kiasi hicho!
 
Mwanaume anatakiwa awe straight! haina haja ya kupindisha! Lazima kuna kitu mnakitafuta zaidi ya serikali 3! Just go straight hamuutaki muungano kuliko kuhoji hati! Hati ili iwaje?

Mkuu jadili hoja zilizotolewa siyo mipasho
 
Hao wana yao, ni zaidi ya hati ya muungano, wanalotaka ni kuvuruga amani yetu na si zaidi ya hapo.
 
Mwanaume anatakiwa awe straight! haina haja ya kupindisha! Lazima kuna kitu mnakitafuta zaidi ya serikali 3! Just go straight hamuutaki muungano kuliko kuhoji hati! Hati ili iwaje?

Njoo upate majibu kule "great thinkers", uzi: Siri Ya Hati Ya Muungano na Njama za kuificha".

Karibu katika mjadala.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hii ni fax ya leo saa tatu na dk 55 nahisi mwaka utakuwa umekosewa kwani leo ni tarehe 14 aprili 2014...sidhani kama ni kutokea tu mwaka mmoja uliopita tarehe kama ya leo fax hio imetolewa leo

Mkuu hakuna cha kukosea mwaka, muongo atadanganya lakini ipo siku atakamatwa kwa kufoji mambo?
 
Hapa sasa ni kuweka nukuu za wale wote waliotoa kauli za uongo kuhusu hati ya muungano. Jamani itafutwe namna ya mtu kusema uwongo bungeni achukuliwe hatua na ikulu iwe inatoa majibu haraka kuliko kuwaacha waongo waeneze uongo wao.

Sasa mmeiona mmebadilika nini sasa.
 
Attachments

Serikali mbili ni kama huyu jamaa anajifunua kqnzu kwa kudhani kavaa bukta kumbe hajaivaa...so hakuna la maana ni ujinga na ushenzi mtupu
 
Attachments

  • 1397577169601.jpg
    1397577169601.jpg
    48.1 KB · Views: 193
Serikali mbili ni kama huyu jamaa anajifunua kqnzu kwa kudhani kavaa bukta kumbe hajaivaa...so hakuna la maana ni ujinga na ushenzi mtupu

baada ya kukosa hoja unaleta vihoja, kwa heri
 
Hiyo hati ya Muungano iko wapi mbona haipo au macho yangu hayaoni!!!!

Tiba
 
Swali langu ni kwamba kama ilijulikana tutaendelea na muungano uliopo kulikuwa na sababu gani ya bunge la katiba? Mbona kodi zetu zimeangamizwa na wachache? Hakiks naona uchungu sana.
 
Hapa sasa ni kuweka nukuu za wale wote waliotoa kauli za uongo kuhusu hati ya muungano. Jamani itafutwe namna ya mtu kusema uwongo bungeni achukuliwe hatua na ikulu iwe inatoa majibu haraka kuliko kuwaacha waongo waeneze uongo wao.

Sasa mmeiona mmebadilika nini sasa.

Sasa mbona walichelewa kuitoa?Kwanini waitoe baada ya watu kugombana Bungeni?
 
Hizo picha wangezipeleka bungeni, ni ushahidi mzuri. Maana kuna watu washa kuja na document zenye sahihi tofauti kuonyesha ni za kugushi. Nafikiri kutakuwa na mikanda ya film kwa tukio kubwa kama hilo ................ kwa nini wasiende kuwaonyesha wabunge wote ushahidi wa hilo tukio kwa sinema badala ya mara kumuliza Msekwa au aliyekuwa katibu wa bunge la ZNZ.
 
Hapa sasa ni kuweka nukuu za wale wote waliotoa kauli za uongo kuhusu hati ya muungano. Jamani itafutwe namna ya mtu kusema uwongo bungeni achukuliwe hatua na ikulu iwe inatoa majibu haraka kuliko kuwaacha waongo waeneze uongo wao.

Sasa mmeiona mmebadilika nini sasa.

Ni watu wajinga tu wawezao kumrejea Sefue. Hati haikutolewa enzi hizo tulipojibiwa kuuliza hati ya muungano ni sawa na kuuliza hati ya ndoa ya wazazi wetu, ndo itoke leo tena na akina Sefue! Juha tu ndiye anayeweza kuamini hili.
 
Sasa mbona walichelewa kuitoa?Kwanini waitoe baada ya watu kugombana Bungeni?

Ukistahajabu mambo ya CCM kijana Firahuni atakugeuza kuwa Green Guard wake. Hawakufanya hivi awali kwani walitaka wabunge wauane kwanza na wasiojuwa waandamane mitaani na kuleta fujo kisha wauliwe na polisi alafu waje kuitwa wahuni ili tu CCM wawe na kisingizio cha kuua.
 
Hii ndio picha ya HATI YA MUUNGANO.....
Nimependa HAYATI KARUME alivyomalizia sahihi yake kwa chini.

D92A5133.jpg
 
Back
Top Bottom