sasa ubishi uko wapi, basi rudisheni mataifa yaliyoungana Tanganyika na Zanzibar, tunaipenda tanzania ila hati ya muungano inasema zanzibar imeungana na Tanganyika, tufanye tanganyika imekufa, basi zanzibar ndo liwe taifa maana tanganyika imekufa, wanataka kusema kuna muungano wa zanzibar na tanzania au zanzibar na Tanganyika??
Hebu jitoe fahamu kidogo tu uyaulize yale maroboti na misukue ya mnazi mmoja usikie majibu yake hadi ushangae.