Inahitajika Bungeni sio kwa waandishi wa habari!Taarifa nilizozipata muda huu ni kuwa Waandishi wa habari wameitwa Ikulu na Katibu Mkuu Kiongozi lengo ni kuwaonyesha Hati Ya Muungano na kukata mzizi wa Fitina Kwa wajumbe wa bunge la Katiba. Tutawajulisha hapa hapa...
Monday, April 14, 2014
Hati Halali ya Muungano hii hapa ikiwa Imesainiwa ORIGINAL na Rais Nyerere na Rais Karume,Hakuna Uchakachuaji hapa
‪#‎HABARI‬ Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue ameonesha hati ya muungano wa Tanzania, kati ya nchi ya Zanzibar na Tanganyika.
Balozi Sefue amewahakikishia Watanzania kuwa nyaraka hizi muhimu ziko salama ila hakuna haja ya kujua ziko wapi.
Balozi Sefue amesema wanaosema kuwa hati hazipo na sahihi zake ni za kughushiwa, ni waongo.
Mambo 11 waliyokubaliana viongozi, wakati Zanzibar na Tanganyika zinaungana pia yameonekana katika hati ya Muungano.
Hii ndio
hati halali ya Muungano iliyosainiwa na Rais nyerere na Abeid Karume,.Hati yote nitaiweka hapa Soon.
Source: Habari Kwanza
Kama Rais Watanzania tumempata na ni vema tukaangalia kwa mapana aina ya makabila yanayofaa kuongoza nchi kwani kabila hili linalotuongoza sasa halistahili kuongoza kabisa labda kwenye vitongoji vya huko vijijini kwao.
Waandishi muingalie vema ili mubaini uhalisia wake kabla hamjatuonesha
nimeiona sahihi ya nyerere imefanyiwa edit kabisa
Kuna mahusiano gani na kura?
Hati sio mali ya ccm ni ya wananchi hivyo wanapoitaka ni lazma iwekwe hadharani.
mmh kibgo mm nitakuwa wa mwisho kukuunga mkono katika ili, ukumbuke ili kabila la sasa ndo linatupa mamlaka ya kuirudisha Tanganyika, enzi zetu za mizee iliyopita, ilikuwa ni dhambi kuongelea muungano, ukimuuliza mzee A.Jumbe atakuambia neno muungano lilimkositi, ila leo hii ------ ametupa muda wa kuamua!ukumbuke ccm haikuwai kuwa na lengo ili! Nimelipenda ilo kabila!