RockSpider
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 6,859
- 2,757
anasemaje? wadau mliopo karibu na TV tujuzeni kinachoendelea...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lissu na MBOWE ni Majembe.
kama nilivyosema anaongelea Hati ya Muungano, anasema hati ipo, na Rais amesema katibu mkuu ailete hati hiyo mbele ya wanahabari, anasema maneno yamekuwa mengi na yanayosemwa ni mengi na hati imetunzwa vizuri sana hadi sasa, na mwenyekiti wa bunge akiiomba basi wataipeleka huko bungeni na nakala ya hati hii itapelekwa makumbusho ili kila mwananchi aweze kuiona,
Aina ya karatasi iliyotumika?
Kalamu ni speedo au zile za wino wa kibakuli?
Wamefanya haraka sana kuitengeneza