zagalo
Senior Member
- Mar 5, 2009
- 128
- 42
Lissu na MBOWE ni Majembe.
Wamechemka tu hawa!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lissu na MBOWE ni Majembe.
Mkuu, ninakushukuru kwa andiko lako!.Mkuu naunga mkono hoja yako kwa 100%... Kama kuishi na mwanamke kwa miaka 2 inatambulika kisheria kuwa ni ndoa halali iweje watu walioishi zaidi ya miaka 50 wamezaliana, wameendesha mambo yao pamoja, wamekabiliana na changamoto mbalimbali kwa umoja wao IWEJE leo tuseme eti Muungano ni batili kwakuwa eti cheti hakipo! Makubaliano au muungano ni zaidi karatasi yenye maandishi ya watu wawili! Muungano huu Unawakilisha Muungano wa Jamii ya watu wa Znz na Watu wa bara na umedumu kwa nusu karne mpaka sasa! Ukiangalia kwa undani utagundua kuwa pande zote mbili yaani CCM na UKAWA wote wako bias ile mbaya! Mifumo wanayopendekeza yanajikita kwenye political gain zaidi! CCM wajua kuwa ndani ya mfumo wa dola mbili wataendelea kutawala milele daima, UKAWA wanajua kuwa ndani ya dola tatu CCM itakosa nguvu na kuachia ngazi! Kama kweli wote wangekuwa na dhamira ya kweli ninauhakika leo hii Tanzania Ingekuwa Moja chini ya Serikali Moja yenye kuendeshwa kwa mfumo wa Majimbo kama zilivyo nchi za wenzetu..
Hahahaha shida tupu,wizi mtupu
Kumbe leo ni Apr. 14 2013!
Kwanini mnaonesha SAINI tu? sehemu inayohusu makubaliano kwanini inafichwa? our interest ni kufahamu nini kilikubaliwa baina ya hayati Mwl J.K Nyerere na Abeid Karume. Kila mtandao ninaojaribu kusearch umeonesha sehemu yenye saini tu kitu gani kinafichwa?
Nimeipenda hiyo picha. Wanaonekana vijana machachari wenye mapenzi kwa nchi yao. Linganisha hiyo picha na viongozi walioko sasa kwenye nafasi waliyokuwa nazo hao vijana wa 1964. Hawana suti za kuhongwa,wamevaa nguo za kawaida kabisa,hawana viriba tumbo.......True Mkuu changa la mmacho hata hapa chini inaonekana wanasaini karatasi zaidi ya moja !!!!
![]()
Mkuu Edson, nasubiri kuiona hii hati na haswa vipengele vyake, ili nipate majibu, ni kwanini haikupelekwa bungeni?, kwa nini haikupelekwa UN?!. Kwa nini haipo kwenye idara ya Nyaraka na Kumbukumbu za Taifa!.nakumbuka Pasco aliwahi kuitafuta hati ya Muungano hadi huko UN akaikosa..hii imetoka wapi?
walioiomba hati siyo waandishi wa habari, ni wabunge wa bunge la katiba tunatakaka ipelekwe huko na wala sii hizi sarakasi.
Ni shidaa
Shida nini ndugu?? Hiyo katumiwa kwa fax!! Inawezekana kabisa imetoka UN!