Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
walioiomba hati siyo waandishi wa habari, ni wabunge wa bunge la katiba tunatakaka ipelekwe huko na wala sii hizi sarakasi.
Hapana. Mbona sasa Zanzibar wanadai hawana? Amani Karume alimwambia Warioba na tume yake kuwa Mkataba wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar haupo.
Warioba akadai kuwa mkataba huo upo. Karume nae akamjibu Niletee niuwone." Ina maana miaka yote aliyokaa kwenye Ikulu ya Zanzibar hajawahi kuuona huo mkataba?
Hiyo nakala ya Zanzibar huwa inahifadhiwa wapi? Maana hata Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar alishadai tena mbele ya mahakama kuwa Zanzibar haina huo mkataba na wala ofisi yake haina mkataba huo.
Nakala nyingine ipo Zanzibar, where exactly? Halafu what is so secret in this hati mpaka uwe wa siri hivyo.
This damn thing should be in the public so people can read and study.
I don't understand wale woote waliofanya Ph.D studies za muungano walifanyaje bila kuwa na primary source ya study husika.
Nimeona kwa njia ya mtandao saini za waasisi wetu walizoweka katika hati ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar tarehe 22/4/1964. Nimeridhika kuwa kumbe makubaliano yalifanyika, lakini naomba wajuzi wa mambo mnifahamishe mambo mawili:
1. Mimi tangu nasoma shule za kata, nimeaminishwa kuwa muungano ulifanyika tarehe 26/4/1964, sasa inamaana walisaini tarehe 22/4/1964 halafu wakaenda kufanya taratibu za sherehe au? sasa siku halisi ya muungano ni siku ya kutia saini waraka wa mkataba au siku yoyote ambayo wahusika wanaweza kuamua kutitangazia.
2. Nimeona saini ya Mzee Karume imekuwa ndefu hivyo kwamba haikutosha katika mstari mmoja ikamalizikia katika msitari mwingine, ina maana kuna uwezekano wa saini kutomalizikia katika karatasi moja ikamalizikia katika karatasi nyingine?, tafadhali nielimishe!
Kwajinsi ninavyomjua Raisi wangu kwakupenda sifa! kama kweli hati hii ingekuani OG basi isingepaswa Ombeni Sefue kuwatangazia umma wa watanganyika kua hati hiyo ndio ya muungano leo hii! Kama ingelikua ni kweli basi ingebidi Raisi wangu ndie angepaswa autangazie umma wa watanzania na leo ingekua ni siku ya mapunziko!
Heshima kwako Antipas Mugwai Lissu kwa kutupa ukweli!
Sasa kumekucha ,sanaa ya ccm imefikia ukingoni,ikiwa hati ndiyo tunajengine la kuwauliza,nalo ni hati ya zanzibar kuridhia muungano.Ikiwa wamechakachuwa ,mambo yataibuka upya na huu utakuwa mwisho wao.
Maana mimi nataka ipelekwe Tbs ikaguliwa kitaalamu kama inafaa kwa ushahidi na tarehe ziko sawa ,nasikia ilikuwa na expiring date,jee mule imo?