Ikulu Yaita Waandishi Wa Habari kuwaonesha Hati Ya Muungano

Ikulu Yaita Waandishi Wa Habari kuwaonesha Hati Ya Muungano

walioiomba hati siyo waandishi wa habari, ni wabunge wa bunge la katiba tunatakaka ipelekwe huko na wala sii hizi sarakasi.

Kwani hata wewe ni mbunge.eti unataka zipelekwe bungeni.acha sarakasi zako.waandishi wa habari si walengwa.kazi yao ni kutoa taarifa kwa uma.
 
Nimeona kwa njia ya mtandao saini za waasisi wetu walizoweka katika hati ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar tarehe 22/4/1964. Nimeridhika kuwa kumbe makubaliano yalifanyika, lakini naomba wajuzi wa mambo mnifahamishe mambo mawili:

1. Mimi tangu nasoma shule za kata, nimeaminishwa kuwa muungano ulifanyika tarehe 26/4/1964, sasa inamaana walisaini tarehe 22/4/1964 halafu wakaenda kufanya taratibu za sherehe au? sasa siku halisi ya muungano ni siku ya kutia saini waraka wa mkataba au siku yoyote ambayo wahusika wanaweza kuamua kutitangazia.

2. Nimeona saini ya Mzee Karume imekuwa ndefu hivyo kwamba haikutosha katika mstari mmoja ikamalizikia katika msitari mwingine, ina maana kuna uwezekano wa saini kutomalizikia katika karatasi moja ikamalizikia katika karatasi nyingine?, tafadhali nielimishe!
 
Hapana. Mbona sasa Zanzibar wanadai hawana? Amani Karume alimwambia Warioba na tume yake kuwa Mkataba wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar haupo.

Warioba akadai kuwa mkataba huo upo. Karume nae akamjibu “Niletee niuwone." Ina maana miaka yote aliyokaa kwenye Ikulu ya Zanzibar hajawahi kuuona huo mkataba?

Hiyo nakala ya Zanzibar huwa inahifadhiwa wapi? Maana hata Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar alishadai tena mbele ya mahakama kuwa Zanzibar haina huo mkataba na wala ofisi yake haina mkataba huo.

Nakala nyingine ipo Zanzibar, where exactly? Halafu what is so secret in this hati mpaka uwe wa siri hivyo.

This damn thing should be in the public so people can read and study.

I don't understand wale woote waliofanya Ph.D studies za muungano walifanyaje bila kuwa na primary source ya study husika.

Unajua ndio kitu najiuliza kwamba kama muungano ni kwa ajili ya watu, na muungano unahalalishwa na hati, inamaana hiyo hati wananchi wana haki ya kuiona. Sasa hata kama wananchi ambao kimsingi hati hiyo ipo kwa ajili yao hawawezi kuiona, hati hiyo ni kwa ajili ya nani? Na kwa nini kumekuwa na lugha za kutatanisha sana kutoka kwa viongozi wetu kila linapokuja suala la hati ya muungano?
 
Hakika Muheshimiwa Tundu Antipas Mugwai Lisu Taifa hili litakukumbuka daima milele!
 
Ccm ni the comedy! Yaaaani yapo yapo tu yanafuta mkumbo likisema moja yote hata kana ni kutumbukia shimoni! Hizi nyumbu zinapeleka wapi Tanganyika yangu?
 
Na pia mzee wetu na baba yetu muheshimiwa Aboud Jumbe hapo ulipo mji mwema Mungu akuongezee umri! wale wanafki wote wameshatangulia lakini niaje Mungu amekupendelea kukupa maisha marefu mpaka leo upo nasi!
 
Ni miaka 50 tunasherehekea miaka 50 ya muungano! hapa nilipo nishatimiza miaka 48 na nimeshatembelea makumbusho yote hapa nchini sijawahi kuona kumbukumbu ya makubaliaano au sahihi za wa asisi wa taifa hili kuhusiana na muungano! leo hii naambiwa eti hati ya muungano ndio hii!!!! Wakati wa utawala wa Ali Hassan Mwinyi kwanini hatukuonyweshwa hati ya Muungano? Utawala wa Mkapa kwanini hatukonyeshwa hati ya muungano? Hali kadhalika marehemu hayati baba wa taifa hatukuonyeshwa hati ya muungano?

Only in Tanzania!
 
Mkuu hata mie hili lanitia mashaka!
kwanza ina maanisha hawa viongozi hawakuwa na signatures bali walikuwa wana tumia full names??

Naomba pia kueleweshwa tofauti iliyopo kati ya "majina" na "Saini"

Nimeona kwa njia ya mtandao saini za waasisi wetu walizoweka katika hati ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar tarehe 22/4/1964. Nimeridhika kuwa kumbe makubaliano yalifanyika, lakini naomba wajuzi wa mambo mnifahamishe mambo mawili:

1. Mimi tangu nasoma shule za kata, nimeaminishwa kuwa muungano ulifanyika tarehe 26/4/1964, sasa inamaana walisaini tarehe 22/4/1964 halafu wakaenda kufanya taratibu za sherehe au? sasa siku halisi ya muungano ni siku ya kutia saini waraka wa mkataba au siku yoyote ambayo wahusika wanaweza kuamua kutitangazia.

2. Nimeona saini ya Mzee Karume imekuwa ndefu hivyo kwamba haikutosha katika mstari mmoja ikamalizikia katika msitari mwingine, ina maana kuna uwezekano wa saini kutomalizikia katika karatasi moja ikamalizikia katika karatasi nyingine?, tafadhali nielimishe!
 
Kwajinsi ninavyomjua Raisi wangu kwakupenda sifa! kama kweli hati hii ingekuani OG basi isingepaswa Ombeni Sefue kuwatangazia umma wa watanganyika kua hati hiyo ndio ya muungano leo hii! Kama ingelikua ni kweli basi ingebidi Raisi wangu ndie angepaswa autangazie umma wa watanzania na leo ingekua ni siku ya mapunziko!

Heshima kwako Antipas Mugwai Lissu kwa kutupa ukweli!
 
Ndallo pole,una machungu mpaka umepitiliza

Warioba anaenda kuwa BABA WA TAIFA LA TANGANYIKA.
 
wataalamu wa alama za vidole watuthibitishie kama kweli hayo majina yaliandikwa kwa mikono ya wahusika!
lakini ukichunguza kwa umakini utaona kuna tatizo katika maandishi ya mkono, kuna uwezekano mkubwa wa nyaraka kuwa feki!
kwa nini tarehe na mwezi havikuchapwa wakati vilijulikana?
Mkataba ulitiwa saini 22nd of April-kwa nini kila siku tunasherehekea 26th???
 
Sasa kumekucha ,sanaa ya ccm imefikia ukingoni,ikiwa hati ndiyo tunajengine la kuwauliza,nalo ni hati ya zanzibar kuridhia muungano.Ikiwa wamechakachuwa ,mambo yataibuka upya na huu utakuwa mwisho wao.
Maana mimi nataka ipelekwe Tbs ikaguliwa kitaalamu kama inafaa kwa ushahidi na tarehe ziko sawa ,nasikia ilikuwa na expiring date,jee mule imo?
 
Nimemkubali mia kwa mia tena ushindi wa kimbunga yaani simba dume hakuna mwengeni ila ni captini tundu lissu kwa kunguruma hadi wakatoa hayo makaratasi ya muungano lakini hayo maandeko yake yapo kwa kizungu na huyo karume hakuwa na elimu ya kizungu ni baharia tuu na sijui kama kapitea shule na huyo kabibi alionzisha ubaguzi wa haraka achukuliwe hatua na kamati ya nidhamu asirudii tena kubagua nani mwenye damu ya kunguni na damu nyeusi ina maana na shivji pia no matusi
 
Sasa kumekucha ,sanaa ya ccm imefikia ukingoni,ikiwa hati ndiyo tunajengine la kuwauliza,nalo ni hati ya zanzibar kuridhia muungano.Ikiwa wamechakachuwa ,mambo yataibuka upya na huu utakuwa mwisho wao.
Maana mimi nataka ipelekwe Tbs ikaguliwa kitaalamu kama inafaa kwa ushahidi na tarehe ziko sawa ,nasikia ilikuwa na expiring date,jee mule imo?

Ha ha haaa! Ngoma inogile.
 
Back
Top Bottom