Ikulu Yaita Waandishi Wa Habari kuwaonesha Hati Ya Muungano

Ikulu Yaita Waandishi Wa Habari kuwaonesha Hati Ya Muungano

Kwenye utiaji wa sahihi si walitumia karam moja ama mimi ile picha na clip ya video naona tofauti ngoja niingie chimbo kidogo nitarudi.
 
Kwenye utiaji wa sahihi si walitumia karam moja ama mimi ile picha na clip ya video naona tofauti ngoja niingie chimbo kidogo nitarudi.
 
Ukistahajabu mambo ya CCM kijana Firahuni atakugeuza kuwa Green Guard wake. Hawakufanya hivi awali kwani walitaka wabunge wauane kwanza na wasiojuwa waandamane mitaani na kuleta fujo kisha wauliwe na polisi alafu waje kuitwa wahuni ili tu CCM wawe na kisingizio cha kuua.

Haya ngoja basi tuwaache Wenyenchi watutungie Katiba waitakayo,lakini ninawasiwasi Mkuu wa kaya atakuja kuwaruka siku chache zaijazo.Maana hatabiriki.
 
mbona waliungana tarehe.26.4 hiyo inaonyesha ya tare.22.4 ina maana siku ya Muungano ni tare.22,
 
Mbona wino wa hizo sahihi unangaa hivyo kama zimeandikwa juzi?
 
Inabidi tukubali na kupongeza chochoko zilizotolewa na mhe. Tundu Lisu kuhusiana na uwepo wa hati ya muungano.

Kwa jinsi navyoijua serikali ya ccm ni mabingwa wa kuficha nyaraka.


Isingekuwa mhe. Lisu kutoa hoja nzito , nadhan labda baada ya miaka mingine 50 ndo tungeonyeshwa.

Wapo pia wajumbe wengine waliohoji uwepo wa hati ya muungano...hii imekuwa chachu kuifanya ccm ionyeshe hati japo kwa shingo upande.

Vile vile imepelekea hadi wajumbe hasa hasa wa ccm wakiwabeza waanze kuuliza kuhusu hati muungano wa unguja na pemba, inaonyesha serikali ya ccm haiwaskilizi wabunge wake.



Hii inadhihirisha maoni ya wachache yameskika.
 
Hti ipo but siasa za umaatufu zimepitwa na wakati. watanzania tuchuje nani atufaa katika kutuwakilisha sio blaa blaaa
 
Mbona hati yenyewe haijasainiwa na badala yake kuna majina tu ya Julius K. Nyerere na Abeid Aman Karume?! Au hayo majina ndiyo sahihi zenyewe?
 
Back
Top Bottom