Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kidogo inachanganya? Ila itakua ni digital
Ukistahajabu mambo ya CCM kijana Firahuni atakugeuza kuwa Green Guard wake. Hawakufanya hivi awali kwani walitaka wabunge wauane kwanza na wasiojuwa waandamane mitaani na kuleta fujo kisha wauliwe na polisi alafu waje kuitwa wahuni ili tu CCM wawe na kisingizio cha kuua.
Nina sababu 6 za kuikataa hii hati. Forged again.
sasa wewe unadhani zimeandikwa lini?Mbona wino wa hizo sahihi unangaa hivyo kama zimeandikwa juzi?