salimkabora
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,441
- 652
Mpaka hapo hamjaelewa somo kwamba mswada umesainiwa? kwn hamjui uongozi wa kisanii unavyofanya kazi? wapinzani walionywa kuufanya mchakato wa katiba kuwa mradi wa rais na hilo tayari ni bao la kisigino halafu bado wazee wa matamko na wazee wa kuokoa jahazi wanasema wataingia ikulu uchaguzi ujao kivipi yani lipi mmeweza mpaka sasa zaidi ya kuvalishwa mikenge kwa kuendekeza kelele badala ya kutafakari mambo kwa kinaHivi inachukua siku ngapi kwa Documet kutoka Bungeni mpaka Ikulu?
Au Umetumwa kwa kutumia Bajaji?
Alafu kumbe ajausoma wala kuuona, ndio maana ilikuwa nimeambiwa, nimesikia, nimesimuliwa. Sasa aliusemea vipi na ilihali ajuhi hata ukoje?