mapinduzi daima
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 1,725
- 2,703
Waungwana, hoja ya msingi hapa si kusaini au kutosaini. Hoja ni mchakato au ramani inayotakiwa na walio wengi ya kutupatia katiba bora kwa miaka mingine 50 ya Tanzania. Rais asaini au asisaini, sisi tunachotaka mswaada URUDI BUNGENI ukajadiliwe upya pamoja na kuwashirikisha washirika wa Muungano (Zanzibar).
HAYO NDIO YANAYOTAKIWA NA WAPENDA AMANI ili tuanze vyema na kumaliza vyema.
Tusipindishe maneno...hakuna kupinda pinda Waungwana.
HAYO NDIO YANAYOTAKIWA NA WAPENDA AMANI ili tuanze vyema na kumaliza vyema.
Tusipindishe maneno...hakuna kupinda pinda Waungwana.