Ikulu yakanusha Rais kusaini Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba!

Ikulu yakanusha Rais kusaini Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba!

Mpaka sasa sijajua Kikwete ana matatizo gani kiakili.
Je huu ni Woga wa Kikwete dhidi ya Wapinzani au Usanii wa Kikwete dhidi ya watanzania?
 
Sasa Wassira alikuwa anamsemea nani? Bado naamini JK anaweza kufanya kitu kunusuru hali hii
 
Hawa jamaa wanatuzuga ili tusiandamane tarehe 10. Nina mashaka kabisa Rais ameusaini muswada. Kikwete ni mzoefu wa kula matapishi yake mwenyewe

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Barua yenyewe haina hhata sahihi ya mwandishi kazi tunayo hawa magamba wanapima upepo wa mambo ila mswada baba riz anao na kaanguuka sahihhi
 
Kumbe maneno yote yale hata muswaada wenyewe hajausoma? Sasa yale aliyosema yanajadilika kayatoa wapi? Au ndiyo yale ya NIMEAMBIWA?

hahahah Chakaza umeifanya siku yangu. Wasaidizi wa raisi hawajaupata mswada wamesikia tu wakamwambia mhsimiwa hutubia taifa. Hivo watakapoupata na kuusoma na kuhutubia upya taifa kwa uhakika zaidi.
 
kwani kabla haujaenda bungeni si umepitia Ikulu? kwani kuna kipi kipya kimeongezeka?
Kwa hiyo miswada inapelekwa Bungeni ili kugongwa muhuri wa bunge pekee? Ndio maana wabunge waCCM hawajadili miswada bali wanajadili Chadema na viongozi wake tuu kwa vile kazi ya kugonga muhuri haina shida?
 
nawewe mi nakuona ni walewale coz unataka kuwashikia akili akina Chikawe na mwenzio wassira eti hatuwakaribishi tena ikulu kunywa juice. yako wapi?
Hakuna mahali popote duniani
ambapo mswada wa sheria uliopitishwa kihalali bungeni watu hupita
mitaani na kutembea jangwani wakinshinikza asiusaini. Nikirudi kwa kauli
yake kwamba wabunge warudi bungeni wafanye marekebisho hakuamaanisha
kuwa mswada hatausaini. Sana sana alichosema ambacho nataka watu fulani
ambao vichwa vyao ni vigumu kuelewa waelewe kuwa Mh Rais alizungumzia
kanuni za Bunge kuhusu kamati ya Bunge ya sheria na katiba kutoenda
Zanzibar. Baada ya maelezo yake akasema hakuna mahali popote, narudia
hakuna mahali popote ambapo kanuni za kudumu za bunge zinasema kamati
(yoyote) inabidi iende Zanzibar na kama wabunge wanaona iwe hivyo basi
warudi Bungeni wafanye marekebisho ya kanuni. Sasa bahati mbaya kuna
watu uelewa wao ni hafifu na wako humu kijiweni; walidhani Mh KASEMA
MSWADA URUDI BUNGENI, UFINYU WA FIKRA NA UDHAIFU WA KUELEWA uliwafanya
hawa DUNDUNDU wadhani kihivyo na kuanza kusherehekea ufinyu wao wa
kuelewa. Ndani mwao kuna wengine wanaelewa alichosema Mh Rais lakini kwa
kuwa wanaona wakiwaelimisha alichosema Mh watawachukia kwa kuwa vichwa
vimejaa maji tu yaani ni watu wanaoelewa kutokuelewa. Mmoja wao ni
Tundu, huyu anajua alichosema Mh Rais lakini amaeacha DUNDUNDU wachemke
wenyewe wakidhani yupo pamoja nao. Fikiri kabla ya kutenda, na
Waingereza wana msemo mzuri tu kwa kiswahili kisicho rasmi unasema,
husiseme kabla hujafanya utafiti maana utaonekana boya na
kituko.:frusty:
 
Swala la mcng ni waweke mambo hadharan kwenye station ya TV kama wanavo fanya bunge na ss tupate kujionea what our president can.
 
Heh, kwahiyo ukishafika huo mswaada na kusomwa na raisi, atahutubia taifa upya ili naneno ya kusikia na kuambiwa aidha yathibitishwe ktk kauli ya mkuu au yaondolewe? Manake hotuba yake nilitegemea kapitia mswada mpya pamoja na hotuba ya Mh. Lisu bungeni. Haya maajabu ya kurugezi ya mawasiliano ikulu.
 
Mhhh huu mtego huu mbona kama wanaandaa mazingira ya kusainiwa?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Wee umeishi nchi zote duniani? Huna hata SONI. Nchi kibao zimeshapinga Mswaada uliopitishwa halali bungeni kwa watu kwenda kwenye Mahakama ya Katiba na wakashinda au Mahakama Kuu ya Rufaa. Kwa nchi za Ulaya, nchi ikipitisha lisheria la ovyo, mtu anaweza kwenda kwenye Mahakama ya Ulaya (Court Of Justice Of European Union) huko Strasboug na akishinda, basi analipwa faini na nchi inalazimishwa kubadili hicho kifungu. Ndiyo maana kwao unyama ni kidogo.

Kama Africa Union au East African Union wangelianzisha hiki chombo na nchi husika kabla ya kuanza basi ziwe na katiba nzuri na utawala wa sheria, ingelikuwa safi sana. Ndiyo maana Uturuki pamoja na utajiri wake, wanamgomea kwa sababu ya Haki za Binadamu kuvunjwa huko kwa wingi na hasa kunyanyasa Wanawake. Wanaona heri Romania iwe EU kuliko Turkiye.
Hakuna mahali popote duniani ambapo mswada wa sheria uliopitishwa kihalali bungeni watu hupita mitaani na kutembea jangwani wakinshinikza asiusaini. Nikirudi kwa kauli yake kwamba wabunge warudi bungeni wafanye marekebisho hakuamaanisha kuwa mswada hatausaini. Sana sana alichosema ambacho nataka watu fulani ambao vichwa vyao ni vigumu kuelewa waelewe kuwa Mh Rais alizungumzia kanuni za Bunge kuhusu kamati ya Bunge ya sheria na katiba kutoenda Zanzibar. Baada ya maelezo yake akasema hakuna mahali popote, narudia hakuna mahali popote ambapo kanuni za kudumu za bunge zinasema kamati (yoyote) inabidi iende Zanzibar na kama wabunge wanaona iwe hivyo basi warudi Bungeni wafanye marekebisho ya kanuni. Sasa bahati mbaya kuna watu uelewa wao ni hafifu na wako humu kijiweni; walidhani Mh KASEMA MSWADA URUDI BUNGENI, UFINYU WA FIKRA NA UDHAIFU WA KUELEWA uliwafanya hawa DUNDUNDU wadhani kihivyo na kuanza kusherehekea ufinyu wao wa kuelewa. Ndani mwao kuna wengine wanaelewa alichosema Mh Rais lakini kwa kuwa wanaona wakiwaelimisha alichosema Mh watawachukia kwa kuwa vichwa vimejaa maji tu yaani ni watu wanaoelewa kutokuelewa. Mmoja wao ni Tundu, huyu anajua alichosema Mh Rais lakini amaeacha DUNDUNDU wachemke wenyewe wakidhani yupo pamoja nao. Fikiri kabla ya kutenda, na Waingereza wana msemo mzuri tu kwa kiswahili kisicho rasmi unasema, husiseme kabla hujafanya utafiti maana utaonekana boya na kituko.:frusty:
 
huo ndo mtihani kwa jk,weka msimamo wako ili tukukumbuke
 
Kumbe maneno yote yale hata muswaada wenyewe hajausoma? Sasa yale aliyosema yanajadilika kayatoa wapi? Au ndiyo yale ya NIMEAMBIWA?

Alisomewa ile taarifa fupi ndo maana alisema ameambiwa na kuelezwa. Unajua taarifa kwa ufupi haiwekwi kila kitu.
 
Kikwete asithubutu kusaini huu muswada.
Kumbe hata hakuusoma? sasa hotuba aliandaa ya nini?
Ama kweli nimeamini kuwa kuongoza ni kipaji!
Kikwete hana kipaji cha kuongoza!
Muswada urudishwe bungeni na ufwate taratibu zote kwa mujibu wa Watanzania!
Pindi Chana, Mathias Chikawe, Wassira na Lukuvi wasidhani hii nchi ni mali yao na wanaweza kufanya watakavyo! wanajidanganya na siku tukianza tunaanza nao!
Hawa ndio wavurugaji wakubwa wa mambo!
 
Mhhh huu mtego huu mbona kama wanaandaa mazingira ya kusainiwa?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Wanapima upepo ila lazima usainiwe huo muswada ndo yatafata mambo mengine! Ndio Maana ya hiyo taarafa!
Tayari wameshapanga mambo Yao
 
Ni kwa mujibu wa Taarifa toka Ikulu:


Na nyingine:

Ni ukweli uliobayana kuwa ccm na serikali yake hawana nia ya dhati ya kupata katiba ya watanzania wote. Baadhi ya viongozi waandamizi ndani ya ccm na serikali wamekua wakijaribu kuhujumu suala laushirikishi na kuteka nyara mchakato mzima.
 
nchi hii kwa mipasho hadi raha inakera..kumbe ndio maana ya nchi kutojitawala ngoja obama aseme
 
Civil disobidience day iko palepale...! Asaini asisaini atajua mwenyewe....!
 
Ikulu is so trick kwa mtu mwenye akili timamu huwezi sema haujafika mswada wa marekebisho ya katiba na chakushangaza president kauzungumzia,sasa Je alijuaje kama hili suala linahitaji lijadiliwe upya?Akili za kuambiwa changanya na zako

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kilichonishangaza mimi ni kuwa muswada haujafika kwa Rais na yet ameuzungumzia kwenye hotuba yake...
 
Back
Top Bottom