Uchaguzi 2020 Ikungi: Magufuli amuahidi Lissu kazi, amuambia aachane na Urais ambao hatashinda

Ndugu zangu,

Hadi sasa Tundu ameoneka kuzungumzia haki za mahabusu na wafungwa wakiwemo masheikh wa uamsho.

Ikumbukwe kuwa Rais Magufuli aliahidi kumpa kazi Tundu siku aliyopita Ikungi.Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,Tundu Lissu anafaa kuwa mjumbe kwenye kamati ya parole inayoongozwa na Ndg.Augustine Mrema.

Tuitumie talanta ya Tundu vema pale atakapomaliza kushiriki kugombea urais.

Nawasilisha.
 
Tutamteua Magufuli kuwa mwenyekiti wa tume ya maridhiano!
 
Kama leo Lumumba watakulipa watakuwa hawajaitendea haki shekeli ya kodi yetu
 
Unaonaje magufuli ateuliwe kuwa makumu Mwenyekiti wa kamati ya maridhiano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…