Ila Bashe! Nchi ina upungufu wa sukari tani 30,000; yeye anaagiza tani 400,000!

Mim nikusahihishe,nilisikia wenye viwanda walikua wanadengua dengua,ndio mana labda dili ilivofika kwa watu wa steshenar wakachangamka,shida ipo wap ikiwa wote wana tin numbar
Kwangu naona Bashe anatafuta hela za kundi lake huko CCM kutoka tani 30K Hadi 400K ndani ya miezi is too much.

Mpina kuwa na details nyingi vile inaonesha hili jambo sio dogo..

Billion 500 unajenga Daraja la JPM au Daraja la Salendar au Daraja la Jangwani.
Hio ni gharama ya Uwanja wa ndege au Uwanja wa mpira wa Arusha, that is a lot sum of money, inahitaji kuwa na guts kuiba kwa scale hiyo
 


Kwa wasiojua how 500 billions is.

Bashe ameeiba zaidi ya 50+ ya bajeti ya Tarura... Hizo hela Bashe anaenda kukwapua, zinaweza kuondoa kabisa Foleni na kukarabati Barabara zoote za Dar es salaam.

Spika Tulia kwa jinsi alivyo akipewa million 300 pekee anafunga mdogo, but this is big scandal
 
Mbona ujuaji ni mwingi waTanzania, sukari ikiadimika mnalalamika ikiwa excess mnalalamika, sasa hamuoni sukari ikiwa nyingi ndio bei inashuka?

Duh hii nchi ngumu sana
 
Najiandaa kwenda kurusha mawe ikulu kushinikiza bashe ahukumiwe.
 
Ameibaje? embu tupe mchanganuo
 
Kwani kuna shida gani kuagiza kiasi kikubwa zaidi ya upungufu? Huoni soko litakuwa la ushindani sukari ikiwa nyingi?
 
Hizi hadithi alikusimulia nani? Mwaka huu kuna miwa mingi zaidi ya mahitaji na hivyo sukari ya kutosha itazalishwa na viwanda vyetu
 
πŸ₯²
 
Kama ni sukari kweli haina shida

Maana Shujaa Maguful alituambia haya masukari imported mengi ni Sumu na aliongea kama Mkemia 🐼
EEEeeenHHHEeeee!
Hapa unaandika kama utani, lakini inawezekana unaamini hivyo kweli!
Hakuna kitu kama hicho.
 
EEEeeenHHHEeeee!
Hapa unaandika kama utani, lakini inawezekana unaamini hivyo kweli!
Hakuna kitu kama hicho.
Bwashee vibali vya Sukari vilianza kutolewa wakati wa awamu ya Mzee Rukhsa na procedure ni Hiyo hiyo ya single transaction

Na inakuwaga na faida kubwa hivyo hivyo

Nadhani Tatizo la Bashe ni hao Jamaa zake aliowapa tenda
 
Bwashee vibali vya Sukari vilianza kutolewa wakati wa awamu ya Mzee Rukhsa na procedure ni Hiyo hiyo ya single transaction

Na inakuwaga na faida kubwa hivyo hivyo

Nadhani Tatizo la Bashe ni hao Jamaa zake aliowapa tenda
Sikulenga haya uliyojibu hapa. Lakini nitatumia fursa hiyo kukuuliza swali kwa vile unajuwa jibu. Mzee Ruksa alitunga sheria ambayo hadi leo inatumika, au ni mazoea tu?
Nilicho jibu hapo juu kuhusu "Hakuna kitu kama hicho", ni hayo ya Shujaa wako uliyemtaja.
Swali la pili linaibukia hapo: Shujaa naye alitumia sheria ile ile ya Ruksa? Najuwa jibu ni Hapana.

Hebu Kwanza: Imenibidi nirudi haraka. Umeandika 'Single Source', aliyotumia Bashe? Una maana gani?
Umeandika '"Single Source'"
 
Wakati wa dharura hutafutwa mtu yoyote mwenye Uwezo wa kumaliza tatizo Kwa haraka na anapewa Kazi haijalishi yuko kwenye Hiyo industry ama la

Hata utaratibu wake wa kulipa Income tax ni tofauti kwani atalipia faida ya hiyo consignment tu kisha anaendelea na maisha yake

Tatizo litakalombana Bashe ni Moja tu, kiasi kilichohitajika Kwa dharura na kiasi alichoagiza ni tofauti

Lakini anaweza kupangua Kwa kusema Waliotengeneza uhaba ni wazalishaji wa Ndani na walisababisha Bei kupanda sasa ili kukabili Bei kubwa ya sukari ni lazima supply more Ili bei ishuke

Swala la Sukari ni la Demand and supply na Siyo Siasa

Ulale Unono πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Lakini si sheria, maana hujaeleza hivyo.
Na hata kama ingekuwa ni sheria, sasa sheria hiyo inatumika vibaya; hata kama dharura yenyewe haipo, au kiasi kinacho agizwa kinakuwa hakiendani na ukubwa wa dharura.

Huu ni mwanya tu, unaotumika sasa kufanya upigaji, na katika hili, ni wazi huu siyo upigaji wa Bashe; yeye ametumika tu kwa vile wizara yake ndiyo yenye mamlaka.

Dalili zote tayari zinaonyesha serikali nzima hata Bunge linahusishwa, ndiyo maana huyo Binti Fito anavyomsurubu Luhaga Mpina.

Acha vichekesho 'john', uliona wapi bei ya sukari ikishuka; au hiyo wanayosema ilifika Tsh 10,000/ kwa kilo?
Hizo ni komedi tu zinaeleweka.

Haya weka uwiano hapa: Tani 400,000, kushusha bei ya sukari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…