Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Na nyie waswahili mmezidi maneno.....huwa mnasema mkifanikiwa tena tunawasema sasa tufanyeje?Hapa ndo unaelewa wa bongo tulivyo na roho mbaya..
Fanya kitu ufeli ndo utaelewa Rangi halısı za wanaokuzunguka
Mimi siamini kitu hicho kuwa eti uweke nusu
Kwa hiyo ndio hataki watu wafungue biashara Sinza,wote waende karume kuuza beli?Kwenye thread flan alisema yeye anauza mitumba karume.....
Uko sawa.Biashara yako ya kwanza kumbuka hauna uzoefu sasa ukiweka mtaji wote alafu zikatokea changamoto utaendelea vipi na biashara? Unaweza ukaweka mtaji wote lakini uwe na uzoefu na hiyo biashara.
Ana uchungu sanaMbona kama una wivu na jamaa?
Yes!Mchawi ndugu, inawezekana inakuuma kwakua hajakushirikisha hata kimawazo
Kama hupendi alivyo naunaona hajachelewa bas mshauri afanikiwe pia
Yes..... Huyu akiwa mzee atakuja anapaaa na ungoYani ninachokiona hapo ni uchawi umekujaa hapo ulipo umejawa na tamaa kubwa
Tukisema biashara ya frem imepitwa na wakati tunaambiwa oooh, wewe hujui bla_bla_blahInasikitisha sana
Mara mia angewaza hata kufungua duka la nafaka kwa kweli. Ni hayo tu
Kabisa aise ni roho ya kichawi hiyo na usikute ni mtu wa karibu mno anamcheka dahHapa ndo unaelewa wa bongo tulivyo na roho mbaya..
Fanya kitu ufeli ndo utaelewa Rangi halısı za wanaokuzunguka
Umeitendea haki pesa, kuna sehemu Mbinga vijijini, mji mdogo wa Ruanda kijiji cha Liyombo kuna sehemu inaitwa shikamoo pesa.JANA NIMEPATA LAKI TANO YA MKUPUO HAPA SAA SITA MCHANA NINA ELFU 40 MFUKONI....
SIJUI NIJICHEKE
SUGU huwa anasema "we don't loose, we either win or learn"Hapa ndo unaelewa wa bongo tulivyo na roho mbaya..
Fanya kitu ufeli ndo utaelewa Rangi halısı za wanaokuzunguka
Mkuu kumbe starehe gharama duuuh🤣🤣🤣Umeitendea haki pesa, kuna sehemu Mbinga vijijini, mji mdogo wa Ruanda kijiji cha Liyombo kuna sehemu inaitwa shikamoo pesa.
Ulimpa kanji nni ili upate zaidi?JANA NIMEPATA LAKI TANO YA MKUPUO HAPA SAA SITA MCHANA NINA ELFU 40 MFUKONI....
SIJUI NIJICHEKE
NilihongaUlimpa kanji nni ili upate zaidi?