Hizo pesa Si angepeleka utt aims ....
Huku nako ni kufeli kwingine kimaisha
Naweka 10Mil UTT kwa mwaka napata 1.2M as a return
Kwa mwezi ni 120K unaweza kuishi na 120K kwa mwezi ?
Kweli ukiwa na 10 M unashindwa kutuliza akili yako ujue nini cha kufanya upate zaidi ya 120K
Muuza fenesi ananunua fenesi moja elf 3 , kweye kila fenesi moja anatoa vibobo si chini ya 12.
Kila kimoja anauza 1000. Kwa fenesi 1 Anapata 12000 with return of 9000 kwa kila fenesi , akipambana na kuuza fenesi 2 ana elf 18 per day as return , kwa mwezi akiuza kwa wastani wa fenesi 2 anapata 540K .
Na wale jamaa wanauza fenesi hadi 4 per day depend on days hasa wale wa KKO na posta
Piga hesabu mwenyewe .
Wewe unaenda kuweka 10 M UTT kwa mwezi uppkee 120K ,
Ni vitu vya ajabu snaa na hii ni failure system ya elimu yetu.
Vijana wanaandaliwa kuwa waoga na kuajiriwa matokeo wanakosa thinking kabisa
UTT ni nzuri Kama unamilioni 50 hazina kazi , mtoto wako kazaliwa leo , unamuwekea hizo hela , by the time anafika 20 years umri wa chuo , anajisomesha mwenyewe kwa hizo returns . Returns za UTT na other financial institutions huwa ni ndogo sana, ni investment nzuri for future generations Kama wanavofanya wahindi. Unakuta Mhindi katupia 100M UTT na hazigusi next 15 years . Wewe unaenda kuweka 1M ili kwa mwezi wakulipe elf 10 , serious ? UTT riba yao ni 12% annually . Ukiweka 1M kwa mwaka una 120K kwa mwezi ni 10K , kuna kutoboa hapo
cha kufanya fanyeni investment kwenye biashara ambazo risk yake ni ndogo kwa kuanzia then you grow up
Kama you have 10M , invest half of it, the rest acha kwa account , you will use later