Ukiangalia vizuri mtoa mada kaongea sahihi na kazungumza kama mtu mwenye experience hasa kwenye location na connection na progress ya biashara na vitu anavouza jamaa.Wewe una biashara tuanzie hapo?maana unazungumza kama Mtu asiye na expirience
Jaribu na weweWatu wengi tunapenda kukurupuka
Kwa zama hizi za mitandao sio za kupanga panga ma fremu.
Mzigo unaweza ukauza vizuri tu ukijua kucheza na mtandao. Haijalishi store iko wapi ?
MkuuNaomba nimtumie rafiki yangu kama kidubwasha cha mfano.
Aliuza kiwanja cha urithi kule Nanjilinji, akauza na nyumba aliyopewa pale Mburahati. Akanunua mzigo wa friji na Tv za Sumsung za kutosha, pesa iliyobaki akakodi fremu Sinza, akaajiri kadadaa kamsaidia kuingiza maokoto
Baada ya miezi mitatu kupita, alikafukuza, kisha akamtaka mkewe asimamie maokoto. Mwezi mmoja tena, nilishangaa sana kumkuta yeye mwenyewe golini. Wiki mbili tena nikawa napita mchana namkuta yeye akiwa ameuchapa tu huku udenda ukimmwagika mchana kweupe, siku si nyingi mbeleni nikawa nawakuta yeye na mkewe wameuchapa huku wanakoroma fofofo
Biashara kubwa kubwa zinahitaji connections, social media sponsoring, location nzuri ya fremu, ukarimu wa muuzaji, uhitaji wa bidhaa na mtazamo juu ya hadhi ya watu unaokwenda kuwauzia. Inafikia hatua mpaka msosi wa mchana hupigi ilihali una friji la Boss la 2mil dukani, inachekesha sana. Wateja hawaonekani dukani, basi achukue hata mafuta ya manabii, wapii, au amtafute mshana jr wapande kilingeni, wapi! Inasikitisha sana
Mara mia angewaza hata kufungua duka la nafaka kwa kweli. Ni hayo tu
Biashara pia ni kipawa kama huna upande huo fanya ambacho ni size YakoNaomba nimtumie rafiki yangu kama kidubwasha cha mfano.
Aliuza kiwanja cha urithi kule Nanjilinji, akauza na nyumba aliyopewa pale Mburahati. Akanunua mzigo wa friji na Tv za Sumsung za kutosha, pesa iliyobaki akakodi fremu Sinza, akaajiri kadadaa kamsaidia kuingiza maokoto
Baada ya miezi mitatu kupita, alikafukuza, kisha akamtaka mkewe asimamie maokoto. Mwezi mmoja tena, nilishangaa sana kumkuta yeye mwenyewe golini. Wiki mbili tena nikawa napita mchana namkuta yeye akiwa ameuchapa tu huku udenda ukimmwagika mchana kweupe, siku si nyingi mbeleni nikawa nawakuta yeye na mkewe wameuchapa huku wanakoroma fofofo
Biashara kubwa kubwa zinahitaji connections, social media sponsoring, location nzuri ya fremu, ukarimu wa muuzaji, uhitaji wa bidhaa na mtazamo juu ya hadhi ya watu unaokwenda kuwauzia. Inafikia hatua mpaka msosi wa mchana hupigi ilihali una friji la Boss la 2mil dukani, inachekesha sana. Wateja hawaonekani dukani, basi achukue hata mafuta ya manabii, wapii, au amtafute mshana jr wapande kilingeni, wapi! Inasikitisha sana
Mara mia angewaza hata kufungua duka la nafaka kwa kweli. Ni hayo tu
au amtafute mshana jr wapande kilingeni, wapi! Inasikitisha sana[emoji16][emoji16][emoji3]Naomba nimtumie rafiki yangu kama kidubwasha cha mfano.
Aliuza kiwanja cha urithi kule Nanjilinji, akauza na nyumba aliyopewa pale Mburahati. Akanunua mzigo wa friji na Tv za Sumsung za kutosha, pesa iliyobaki akakodi fremu Sinza, akaajiri kadadaa kamsaidia kuingiza maokoto
Baada ya miezi mitatu kupita, alikafukuza, kisha akamtaka mkewe asimamie maokoto. Mwezi mmoja tena, nilishangaa sana kumkuta yeye mwenyewe golini. Wiki mbili tena nikawa napita mchana namkuta yeye akiwa ameuchapa tu huku udenda ukimmwagika mchana kweupe, siku si nyingi mbeleni nikawa nawakuta yeye na mkewe wameuchapa huku wanakoroma fofofo
Biashara kubwa kubwa zinahitaji connections, social media sponsoring, location nzuri ya fremu, ukarimu wa muuzaji, uhitaji wa bidhaa na mtazamo juu ya hadhi ya watu unaokwenda kuwauzia. Inafikia hatua mpaka msosi wa mchana hupigi ilihali una friji la Boss la 2mil dukani, inachekesha sana. Wateja hawaonekani dukani, basi achukue hata mafuta ya manabii, wapii, au amtafute mshana jr wapande kilingeni, wapi! Inasikitisha sana
Mara mia angewaza hata kufungua duka la nafaka kwa kweli. Ni hayo tu
Hizo pesa Si angepeleka utt aims ....
Na ukifaulu wanakuita freemasonsHapa ndo unaelewa wa bongo tulivyo na roho mbaya..
Fanya kitu ufeli ndo utaelewa Rangi halısı za wanaokuzunguka