Ila bongo Movie bana, eti mfungwa anavaa hereni!

Halafu kuna hawa kijiweni production. Hii movie imeoneshwa almost dunia nzima na hawa jamaa wamepata international awards nyingi. Natamani nijue movies zao unazipataje nje ya kutegemea maonesho ya cinema. Mfano hii naitamani 😊
images - 2023-09-28T174225.131.jpeg
 
Usiwe serious sana, si kwamba hawafanyi tafiti, Bali wanataka ujue kuwa wanaigiza
 
Ni sawa mnishangae kwa kuangalia bongo movie ila chochote kilochotengenezwa na seko shamte au napoleon lazma niangalie [emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu usimchanganye Seko na hawa wadangaji wa Bongo movie. Seko ana movie Netflix (Binti). Juzi hapa kapata shavu la PEPFAR kutengeneza short films kuhusu UKIMWI.
 
Halafu kuna hawa kijiweni production. Hii movie imeoneshwa almost dunia nzima na hawa jamaa wamepata international awards nyingi. Natamani nijue movies zao unazipataje nje ya kutegemea maonesho ya cinema. Mfano hii naitamani [emoji4]
View attachment 2765132
Hii pia sio ya level ya Bongo movie Mkuu. Sijaelewa kwa nini huku haikuwa promoted sana. Hizi ndio movie ambazo zilitakiwa kui-define Bongo movie.
 
Naona producer amil anafanya hizi movies kwa ajili ya cinemas tu. Ila sababu ya hili niliskia huwa wanapewa ufadhili wa mambo ya kijamii ambayo haiwaruhusu kutumia hizo movies kibiashara
 
Mkuu usimchanganye Seko na hawa wadangaji wa Bongo movie. Seko ana movie Netflix (Binti). Juzi hapa kapata shavu la PEPFAR kutengeneza short films kuhusu UKIMWI.
Ahhh huyo mama yupo vizuri sanaaaa Ila naona ndoto yake kubwa sio kuteka soko la ndani Ila dunia kiujumla. Mungu amuongoze
 
Halafu kuna hawa kijiweni production. Hii movie imeoneshwa almost dunia nzima na hawa jamaa wamepata international awards nyingi. Natamani nijue movies zao unazipataje nje ya kutegemea maonesho ya cinema. Mfano hii naitamani 😊
View attachment 2765132
Hakuna kitu hapo, nilishawishika na demu nikaenda Cinemax Mlimani kuiangalia. Na wao walikuaepo wanaipromote. Hakuna kitu aisee. Yaani ukicheki Movie ya US ya mwaka 1970 na ukaangalia ya Bongo 2023 bado jamaa wametupiga gepu.

Angalia iyo sci-fi ya EONII utacheka ufe.
 
Mbona trailer yake kama kali sana na isitoshe hicho kitabu story yake ni nzuri sana. Movie inakuwaje movie inakuwa ya kawaida dahh
 
Back
Top Bottom