Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Hawarekebishiki.. Ukijaribu wanakuona jauMuwe wazalendo kwa kupenda vya kwenu. Ingawa ni kweli kuna mapungufu tuwaseme wajirekebishe
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawarekebishiki.. Ukijaribu wanakuona jauMuwe wazalendo kwa kupenda vya kwenu. Ingawa ni kweli kuna mapungufu tuwaseme wajirekebishe
Sinema zetu hakika niza kwetu [emoji23][emoji1787]
View attachment 2770306
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Movie wanaweka twenty years later lakini bado mbwa wa nyumbani yuko hai,[emoji23]
Bongo movie wanaingiza mambo ambayo hayapo kwenye jamii zetu.Mbona kawaida hiyo? Movie gani hiyo? Inategemea aliyevaa ni nani
KAma yapi mkuu?Bongo movie wanaingiza mambo ambayo hayapo kwenye jamii zetu.