Ila bongo Movie bana, eti mfungwa anavaa hereni!

I don't know what stresses me more, the fact that the Tz prisoner is full of beard, or the fact that you are still watching bongo movies
 
🤣🤣🤣 mwenyewe nlishanga hli swala ila ndo movie zetu za bongo
 
Mtuache sasa...🤓🤓🤓🙌🙌🙌🙌
 
Si afadhali scene hiyo, nilichoka nilipo ona jini limenyunda kwa mguu toka ubungo kwenda mwenge, lilipofika Kivulini likachoka likaamua liombe lifti kwenye bajaji
Hii nayo chai
 
Hapo ukute kaambiwa na director avue kagoma kwakua ni Star! Afrika kila kitu ni takataka!
 
Si afadhali scene hiyo, nilichoka nilipo ona jini limenyunda kwa mguu toka ubungo kwenda mwenge, lilipofika Kivulini likachoka likaamua liombe lifti kwenye bajaji
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Jela nyingi za Nje wanavaa hereni na kujichora tattoo za makundi ya Umafia wao niliwahi kumuona dogo mmoja muuaji Cape Town brazameni balaa utadhani muimbaji ila alikua na kesi za mauaji zisizopungua 10 na huko jela anaishi kama mfalme maana anakua na kikundi chake cha umafia Jela na kumlinda pia hao ndio 26 w Polsmor jail...
 
Hiyo ni nje
Bongo mfungwa haruhusiwi kuvaa hereni wala kufuga midevu
 
Hiyo ni nje
Bongo mfungwa haruhusiwi kuvaa hereni wala kufuga midevu
OK sawa sawa sema Bongo wanaofanya shughuli za Movie hata kutembelea Jela hawawezi kujua huko kupo vipi pana movie za nje ukiangalia wahuni wanakua wajela jela kweli maana wanasoma mazingira ya Jela kabla hawajatoa Movie yao...
 
Asee kilichonishangaza nikuona et mfungwa kwanza kavaa hereni pia kaachia ndevu na nywele .[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…