Jambazi anavamia nyumba ya tajiri anavua viatu nje aingie peku[emoji1787]Si afadhali scene hiyo, nilichoka nilipo ona jini limenyunda kwa mguu toka ubungo kwenda mwenge, lilipofika Kivulini likachoka likaamua liombe lifti kwenye bajaji
[emoji23][emoji23]Sinema zetu hakika niza kwetu [emoji23][emoji1787]
View attachment 2770306
Hawa wanaonekana wamejaliwaaaSinema zetu hakika niza kwetu [emoji23][emoji1787]
View attachment 2770306
Hujawahi kuona majambazi yanavamia nyumbani kwa tajiri afu yanavua viatu mlangoni?Si afadhali scene hiyo, nilichoka nilipo ona jini limenyunda kwa mguu toka ubungo kwenda mwenge, lilipofika Kivulini likachoka likaamua liombe lifti kwenye bajaji
Nigeria nao wamezidi na mauchawi yao. Nimeacha kuangalia sinema zao tangu 2010.Katika mavitu yamenipita kushoto ni bongo movie. Yaani hawa ni vituko tu. Hata kuiga tu wameshindwa.
Hapo ujue mwisho wa hiyo movie huyo mfungwa lazima atakuwa tajiri. Halafu lazima ndio mtunzi huyo huyo,na ni director huyo huyo,na editer mwenyewe na staring mwenyewe. Na movie ametunga wiki hii mwezi ujao iko hewani.
Wakajifunze Nigeria,wale jamaa wako serious sana na kazi zao. Hawa kujishow tu ndio kazi yao. Sasa mfungwa hawataki kumuondolea uhalisia,wanamuacha na heleni na nywele zake na ndevu. Bongo movie ni vituko.
Na siku hizi baada ya kuona wamechemsha kwenye movie za maisha halisia yanayoonekana,wamegeukia movie za uchawi tu ksbb vitu vya kwenye uchawi sio halisia ni vya kubuni tu atakavyo,na kudanganya sana. Wanawapata tu wanawake na watoto,lakini hawawezi kuwapata wenye uelewa.
Labda kipindi hiki. Hata hivyo ukiangalia za uchawi za kwao ni kiasili kabisa,zinavutia kuliko za hawa bongo.Nigeria nao wamezidi na mauchawi yao. Nimeacha kuangalia sinema zao tangu 2010.
Wakitaka tuwe wazalendo, na wenyewe wakubali kwenda darasani kujifunza namna nzuri ya kutengeneza muvi za viwango vya Kimataifa.Bora nikatazama tomy and Jerry kuliko hizo sijui bongo movie.
Halafu kuna mtu anakwambia tupende vya nyumbani ni uzalendo!!
Cc Dr Lizzy[emoji846]Halafu kuna hawa kijiweni production. Hii movie imeoneshwa almost dunia nzima na hawa jamaa wamepata international awards nyingi. Natamani nijue movies zao unazipataje nje ya kutegemea maonesho ya cinema. Mfano hii naitamani [emoji4]
View attachment 2765132
Halafu mfungwa mwenyewe ndozi nyeupeAsee kilichonishangaza nikuona et mfungwa kwanza kavaa hereni pia kaachia ndevu na nywele . Sasa unajiuliza inamaana awa watu hawafanyi tafiti kwanza jinsi mambo yalivyo. We tangu lini mfungwa akavaa heleni
hamna anakuwa ni mjukuu wa mbwa, sema wanafanana tu..🤣😂😂Movie wanaweka twenty years later lakini bado mbwa wa nyumbani yuko hai,[emoji23]
Asee salam
Jana kuna filamu (bongo Movie) nilikua naangalia sasa kuna scene moja ya gerezani
Asee kilichonishangaza nikuona et mfungwa kwanza kavaa hereni pia kaachia ndevu na nywele . Sasa unajiuliza inamaana awa watu hawafanyi tafiti kwanza jinsi mambo yalivyo. We tangu lini mfungwa akavaa heleni
Nyingine niliona et mkuu wa kituo cha polisi ni koplo afu anampa maagizo inspector wa polisi asee
Nilichoona hawa watu ninawavivu ata kujua taratibu za mambo mbali mbali yanavyoenda. Emu ona picha mwenyewe
View attachment 2764715
Kuna mada kama hizo ukiwakosoa Hawa vilaza wetu wa ccm wasanii wanadai wivu.mimi sio mtabili,...lakini naweza ona kesho ya mtu anaeahusudu bongo movies na movies zilizotafsiriwa[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji120][emoji125]
huwa sipotezi muda kubishana na watu hao ni hatari kwa afya yangu...nikiona tu mtu wa namna hiyo sihitaji kipimo kujua majibu atakayonipa kwa kila swali nitakalomuuliza.....waigizaji na watafsiri wa movies hapa bongo ni kiwakilishi tosha cha IQ ya watanzania wengi........nimewahi ongea na actor mmoja juu ya hili jambo kwa kina, nilichokuja gundua ni njaa, ulimbukeni wa usupastar, na marupurupu ya ngono wakiwa camps...Kuna mada kama hizo ukiwakosoa Hawa vilaza wetu wa ccm wasanii wanadai wivu.