Ila Fei Toto kapitia mateso makali sana. Jionee hii picha mwenyewe

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,254
Reaction score
5,161
Hapa kavalishwa Jacket la Suit ya Mwakalebela. Zito limemvaa. Anajitahidi kusimama wima. Unamwona tu kachoka. Huyu dogo ameteswa sana. na miwani ya welding anasema hapo alikuwa hata haoni vizuri mbele. Ila ndo aliambiwa avae hivyo apendeze

Sielewi kwa nini walikuwa wanamfanyia hivi. Hapo bado anatakiwa Uwanjani aende akavae Hirizi tatu nazo anasema zilikuwa zinamlemea na kuhatarisha maisha yake.

IMG-20230302-WA0041.jpg
 
View attachment 2534617
Duu aisee😂🤣
 
Kwahyo hii picha ndo inaonyesha mateso makali aliyokuwa anapewa na Yanga?
 
Back
Top Bottom