Ila Fei Toto kapitia mateso makali sana. Jionee hii picha mwenyewe

Ila Fei Toto kapitia mateso makali sana. Jionee hii picha mwenyewe

Wekeni picha baada ya kuanza kula ugali na sukari
 
ogopa sana kumnyanyua maskini wa kiafrika.
Fei ulitaka kuvuka malengo ila baada ya kuona kichwa kimezidi kinyeo kama cha askari anayetrend ukaamua kuwanyea yanga kutaka kuondoka.
Yanga watakukomesha
Sasa yanga wanamkomesha vipi wakati mshahara wanalipa? Wazuie salary
 
ogopa sana kumnyanyua maskini wa kiafrika.
Fei ulitaka kuvuka malengo ila baada ya kuona kichwa kimezidi kinyeo kama cha askari anayetrend ukaamua kuwanyea yanga kutaka kuondoka.
Yanga watakukomesha
.....ogopa kumnyanyua maskini wa kiafrika....✍✍✍✍✍
 
Hapa kavalishwa Jacket la Suit ya Mwakalebela. Zito limemvaa. Anajitahidi kusimama wima. Unamwona tu kachoka. Huyu dogo ameteswa sana. na miwani ya welding anasema hapo alikuwa hata haoni vizuri mbele. Ila ndo aliambiwa avae hivyo apendeze

Sielewi kwa nini walikuwa wanamfanyia hivi. Hapo bado anatakiwa Uwanjani aende akavae Hirizi tatu nazo anasema zilikuwa zinamlemea na kuhatarisha maisha yake.

View attachment 2534617
kakune Nazi basi.
 
Kuna siku nilikuwa natafuta suti mpya nikaingia mtandaoni. Ikanipeleka website ya duka moja liko Masaki, kucheki mteja wao mmoja ni Chama maana walipost picha zake akiwa kavaa suti zao. Nikapiga simu kuuliza bei, nimalizie tu kwa kusema ilikuwa juu ya bei elekezi 🤣😂🤣😂
 
Maza mkuda balaa
Naamini yule Mama ametumia msemo tu wa Kizanzibari huko ila watu wametembea na maneno yake juu kwa juu kuleta mizaha na sasa wanamhukumu kwa maneno hayo.
 
Katika vyote dogo amebugi sana kumuhusisha mama yake katika haya mambo.

Wabongo walivyokosa staha mama wa watu atashambuliwa na kufanyiwa dhihaka mpaka dunia aione chungu. Maana ghafla mama kawa msemaji wa mwanae kuhusu maslahi ya mpira.
 
Hapa kavalishwa Jacket la Suit ya Mwakalebela. Zito limemvaa. Anajitahidi kusimama wima. Unamwona tu kachoka. Huyu dogo ameteswa sana. na miwani ya welding anasema hapo alikuwa hata haoni vizuri mbele. Ila ndo aliambiwa avae hivyo apendeze

Sielewi kwa nini walikuwa wanamfanyia hivi. Hapo bado anatakiwa Uwanjani aende akavae Hirizi tatu nazo anasema zilikuwa zinamlemea na kuhatarisha maisha yake.

View attachment 2534617
Teh teh teh 😂😂😂 nyie raia bhana teh teh teh 😂😂😂
 
Back
Top Bottom