Ila Fei Toto kapitia mateso makali sana. Jionee hii picha mwenyewe

Ila Fei Toto kapitia mateso makali sana. Jionee hii picha mwenyewe

Katika vyote dogo amebugi sana kumuhusisha mama yake katika haya mambo.

Wabongo walivyokosa staha mama wa watu atashambuliwa na kufanyiwa dhihaka mpaka dunia aione chungu. Maana ghafla mama kawa msemaji wa mwanae kuhusu maslahi ya mpira.
Dogo hakumtuma maza Bali waandishi ndio wamemfata maza kumuhoji
 
Sasa kama dogo alikua anamuhadithia maza kua wanakula ugali na sukari ulitaka mama asiseme?
Kwani mi nimesema fei kumwambia mama yake ni kosa? Ishu ni kuamini fei kamtuma mama yake kwenye media
 
Dogo hakumtuma maza Bali waandishi ndio wamemfata maza kumuhoji
Neno muhimu la kuzingatia kwenye comment yangu ni "kumuhusisha". Wachezaji wangapi washakuwa na matatizo na timu zao lakini hukuona mama zao wakihojiwa, unahisi waandishi hawakujaribu kuwatafuta na kuwahoji???
 
Back
Top Bottom