Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Duu aisee😂🤣Hapa kavalishwa Jacket la Suit ya Mwakalebela. Zito limemvaa. Anajitahidi kusimama wima. Unamwona tu kachoka. Huyu dogo ameteswa sana. na miwani ya welding anasema hapo alikuwa hata haoni vizuri mbele. Ila ndo aliambiwa avae hivyo apendeze
Sielewi kwa nini walikuwa wanamfanyia hivi. Hapo bado anatakiwa Uwanjani aende akavae Hirizi tatu nazo anasema zilikuwa zinamlemea na kuhatarisha maisha yake.
View attachment 2534617
Dah hapa kabla hajaanza kula ugari na sukari dah !!
Aiseee
AAA kalpanaaa.upooo🤨
La hii Hatari,waacheni wayamalizeni jamani...Hawa ni ndugu!Suti VS Shuti
View attachment 2534716
Kwahyo hii picha ndo inaonyesha mateso makali aliyokuwa anapewa na Yanga?Hapa kavalishwa Jacket la Suit ya Mwakalebela. Zito limemvaa. Anajitahidi kusimama wima. Unamwona tu kachoka. Huyu dogo ameteswa sana. na miwani ya welding anasema hapo alikuwa hata haoni vizuri mbele. Ila ndo aliambiwa avae hivyo apendeze
Sielewi kwa nini walikuwa wanamfanyia hivi. Hapo bado anatakiwa Uwanjani aende akavae Hirizi tatu nazo anasema zilikuwa zinamlemea na kuhatarisha maisha yake.
View attachment 2534617