Ila Fei Toto kapitia mateso makali sana. Jionee hii picha mwenyewe

Wekeni picha baada ya kuanza kula ugali na sukari
 
ogopa sana kumnyanyua maskini wa kiafrika.
Fei ulitaka kuvuka malengo ila baada ya kuona kichwa kimezidi kinyeo kama cha askari anayetrend ukaamua kuwanyea yanga kutaka kuondoka.
Yanga watakukomesha
Sasa yanga wanamkomesha vipi wakati mshahara wanalipa? Wazuie salary
 
ogopa sana kumnyanyua maskini wa kiafrika.
Fei ulitaka kuvuka malengo ila baada ya kuona kichwa kimezidi kinyeo kama cha askari anayetrend ukaamua kuwanyea yanga kutaka kuondoka.
Yanga watakukomesha
.....ogopa kumnyanyua maskini wa kiafrika....✍✍✍✍✍
 
kakune Nazi basi.
 
Kuna siku nilikuwa natafuta suti mpya nikaingia mtandaoni. Ikanipeleka website ya duka moja liko Masaki, kucheki mteja wao mmoja ni Chama maana walipost picha zake akiwa kavaa suti zao. Nikapiga simu kuuliza bei, nimalizie tu kwa kusema ilikuwa juu ya bei elekezi πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚
 
Maza mkuda balaa
Naamini yule Mama ametumia msemo tu wa Kizanzibari huko ila watu wametembea na maneno yake juu kwa juu kuleta mizaha na sasa wanamhukumu kwa maneno hayo.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚huu uzi
 
Katika vyote dogo amebugi sana kumuhusisha mama yake katika haya mambo.

Wabongo walivyokosa staha mama wa watu atashambuliwa na kufanyiwa dhihaka mpaka dunia aione chungu. Maana ghafla mama kawa msemaji wa mwanae kuhusu maslahi ya mpira.
 
Teh teh teh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nyie raia bhana teh teh teh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…