Katika vyote dogo amebugi sana kumuhusisha mama yake katika haya mambo.
Wabongo walivyokosa staha mama wa watu atashambuliwa na kufanyiwa dhihaka mpaka dunia aione chungu. Maana ghafla mama kawa msemaji wa mwanae kuhusu maslahi ya mpira.
Neno muhimu la kuzingatia kwenye comment yangu ni "kumuhusisha". Wachezaji wangapi washakuwa na matatizo na timu zao lakini hukuona mama zao wakihojiwa, unahisi waandishi hawakujaribu kuwatafuta na kuwahoji???