Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Rudi mkuu
Subiri nakuja mkuuRudi mkuu
Pole sana jitahidi kuwa mwaminifu sasaJana ndio nilitambua kumbe nina uwezo wa kula haraka hata chakula kiwe kingi na chamoto kiasi gani.
Tumetoka kwa chakula cha usiku mwenzangu simu yake akaicha ndani kwenye chaji, tumefika sehem sehemu ya kula tumeanza tu kula akaniomba simu yangu atume mail fulani kabla hajasahau, nikampa. Nilijikuta automatically natamani tule tumalize chap tuondoke ila hilo liliwezekana kwangu tu na nilimaliza kula haraka mpaka yeye mwenyewe akaniuliza kulikoni? Sikusikia hata ile ladha ya chakula hakika kutokuwa mwaminifu ni kubaya.
Anakuja kunipa simu nishakoma naenda kwenye recently opened app nakuta whatsapp,sms, google drive, call log, gallery & ms office. Ila hizi simu jana sikutegemea kabisa kama simu itashikwa muda ule, sikufanya usafi uzuri nilishamwambia akishika sitaki maswali. Sikuwa na vipengele ila kulikuwa na convo zenye ukakasi kidogo ambazo nilidhani nilishazifuta kumbe bado zimo.
Huu mtindo wa kushikiana simu ni hatari, wanawake huwa mnatafuta nini kwenye simu zetu?
Ukipendwa tulia na jiamini.
Hapo kosa ni lakwake. Kwanini yeye aache simu nyumbani, kwani simu ya mezani hiyo?Jana ndio nilitambua kumbe nina uwezo wa kula haraka hata chakula kiwe kingi na chamoto kiasi gani.
Tumetoka kwa chakula cha usiku mwenzangu simu yake akaicha ndani kwenye chaji, tumefika sehem sehemu ya kula tumeanza tu kula akaniomba simu yangu atume mail fulani kabla hajasahau, nikampa. Nilijikuta automatically natamani tule tumalize chap tuondoke ila hilo liliwezekana kwangu tu na nilimaliza kula haraka mpaka yeye mwenyewe akaniuliza kulikoni? Sikusikia hata ile ladha ya chakula hakika kutokuwa mwaminifu ni kubaya.
Anakuja kunipa simu nishakoma naenda kwenye recently opened app nakuta whatsapp,sms, google drive, call log, gallery & ms office. Ila hizi simu jana sikutegemea kabisa kama simu itashikwa muda ule, sikufanya usafi uzuri nilishamwambia akishika sitaki maswali. Sikuwa na vipengele ila kulikuwa na convo zenye ukakasi kidogo ambazo nilidhani nilishazifuta kumbe bado zimo.
Huu mtindo wa kushikiana simu ni hatari, wanawake huwa mnatafuta nini kwenye simu zetu?
Ukipendwa tulia na jiamini.
Nimelitambua hilo mkuu ile hali iliyojitokeza punde tu baada ya kumpa simu imenifundisha kitu.Shida mbona ipo kwako, kuwa mwaminifu.
Hiyo ilikuwa mbinu tu yakutaka nisimnyime yangu.Hapo kosa ni lakwake. Kwanini yeye aache simu nyumbani, kwani simu ya mezani hiyo?
Kuwa muaminifu mkuu
Najitahidi sana ila kuna muda kama binadamu naanguka vishawishini wakuu wangu.Pole sana jitahidi kuwa mwaminifu sasa
Ukiona unakimbilia kwenye visingizio, ujue bado hujaamua.kuna muda sina hili wala lile inaingia sms "mume".
Huna la kusema leo ? Sio kweliNasoma comments tyuuh mie, Lol
Hujaamua tuNajitahidi sana ila kuna muda kama binadamu naanguka vishawishini wakuu wangu.
Kaka la jana limenifunza kitu, mimi sio wa kula kama nakimbizwa bila utulivu.Ukiona unakimbilia kwenye visingizio, ujue bado hujaamua.
Ukiwa huna makandokando simu hazina tatizo lolote.Jana ndio nilitambua kumbe nina uwezo wa kula haraka hata chakula kiwe kingi na chamoto kiasi gani.